Kwanini wako busy na chanjo ya COVID 19 na sio dawa yake?

Mtoa mada ni Kwanza kumpiga mwanae chanjo ya polio ila akija huku anaponda hazina msaada unafiki mwafrika kweli ni asili yetu....
 
I
Mabeberu wote wako busy kutafuta na kutengeneza chanjo ya korona bila kuwa na mpango wowote wa kutengeneza dawa, kwa nini wanafanya hivyo? Hii inaonyesha ujinga wao ndiyo maana wanaponda dawa ya Madagascar lakini wanajifanya hawajui wachina wanatumia dawa za jadi kutibu COVID.

Ukichukulia chanjo zao za magonjwa mengine wanazotulazimisha zina madhara ya pembeni, zinasababisha ulemavu na uuaji wa kizazi, wapo wanaosema chanjo hizi tunazopewa Afrika bure zina lengo la kutupunguza idadi na kufupisha maisha yetu kama Bill Gates na Prince William wa Uingereza wanavyotaka.

Wanaopna aibu kushindwa na mwafrika kwa ili hata kutokujua mashine za kupima COVID zina itilafu. Wanataka tuwategemee kwa yote hasa kiafya na kiuchumi kuwanufaisha wao, tunaita ukoloni mamboleo. Hizi chanjo za COVID lazima ziwe na lengo lingine zaidi kwetu siye waafrika, siajabu zitakuwa tofauti na wanazojipa wenyewe.

Cha msingi chanjo zao za mafua hazijafanya kazi kuzuia korona wala mafua yenyewe, walochanjwa wanapata mafua zaidi ya wasiochanjwa, sasa chanjo ya korona itakuwaje?
Chanjo wengi watapona ikiwemo wazee na wenye magonjwa Kama vile kisukari etc,Tiba ...sio wote watakaoambukizwa Corona hasa wazee na wenye matatizo ya kisukari n.k wataweza pona
 
K
Kwa elimu yangu ndogo katika somo la biology inasema kuwa ugonjwa wa kirusi hauna dawa. Suluhisho pekee ni chanjo au kupata dawa za kufubaza ama kutibu dalili za ugonjwa. Waliosoma ndani zaidi watakuja na majibu ya kina.
Kwa mtu mwenye kirusi ukampa chanjo nini hufuata ?
 
Viruses hana dawa ya kutibu ila chanjo ndo inaweza kutengenezwa 100%

Ukitibu kirus rNA lazima na cell ya mwili ife, maana yake receptor za cell zimeiruhusu imeingia ndani ya cell kuwa zinaendana.

Kwa nn hana tiba viruses kirusi ni rNA siku zote ili ajigawe inabidi aingie kwenye cell ya binadamu DNA ndo anajigawa kuwa kirusi kipya, mpaka wanakuwa wengi ndo maana HIV, Ebola, Herps simple virus, Corona, wote hawana tiba, ingawa na chanjo ya ukimwi imeshindikana.
Sasa kwa mtu mwenye Ebola/Corona hivi baada ya chanjo ndo anapona ?
 
Ulitungaje huo uongo? Mbona wamejaribu dawa mbalimbali hata za malaria kutibu korona? Kwani we hujui China wanatumia dawa za asili kutibu korona? Mbona hawajasema hivyo hata siku moja dhidi ya dawa ya Madagascar ila wanasema haijathibitishwa hawasemi hakuna dawa itakayo tibu? Mbona Ebola inatibika hata HIV wanatibu Ulaya sasa watu wanapona kabisa? Acha uongo na ujinga wa kutowajua mabeberu.
Hii yote ni matokeo ya CCM! Safari ni ndefu!
 
Hakuna kirusi Chenye dawa,kama ipo itaje
Taasisi ya Utafiti wa Matibabu ya Kenya (KEMRI) inafanyia majaribio dawa ya mitishamba ya Zedupex kubaini kama inaweza kutibu COVID19

Dawa ya mitishamba ya Zedupex ilitengenezwa na watafiti nchini humo miaka mitano iliyopita (2015) na imekuwa ikitumika kutibu ugonjwa wa Herpes

Kiongozi wa timu ya watafiti hao, Dkt. Frestus Tolo amesema wapo hatua za mwanzo za majaribio na bado hawafikia hitimisho kwani virusi vinavyosababisha Herpes ni DNA na vile vya CoronaVirus ni RNA

Dkt. Tolo amesema utafiti zaidi unahitajika ili kujua endapo dawa hiyo ya mitishamba itakuwa na uwezo wa kutibu CoronaVirus

=======

Kenya has joined a growing list of countries across the world that are burning the mid-night oil in search of a coronavirus cure.

At the moment, the Kenya Medical Research Institute (KEMRI), East Africa’s leading medical research facility, is testing the efficacy of a herbal medicine known as Zedupex.

Zedupex which was developed by Kenyan researchers in 2015 has been used to effectively treat Herpes.

Dr. Frestus Tolo is leading a team of researchers in conducting research to determine Zedupex is the missing puzzle piece needed to decimate the novel coronavirus.

“We are still at a very early stage and cannot really make conclusions since Herpes is a DNA virus and Coronavirus is an RNA virus, more research is needed to determine whether this regimen would work,” Tolo told Voice of America.

Rudi Eggers, a doctor working with WHO however said it may be an uphill task to standardize the herbal treatment

“Herbal cures have varied levels of components and you would need to know in what levels these components are before you embark on evaluating these cures,” Eggers said during an interview with VOA.

Dr. Kefa Bosire from the University of Nairobi Pharmacy School is sceptical about the idea of a herbal cure as mass production may be a hurdle based on availability of ingredients on a short notice.

The concerns have however not deterred researchers from pitching tent and burning the midnight oil in getting a local cure.

Kenya has so far recorded 1162 cases of the coronavirus, 380 recoveries and 50 fatalities.

Elsewhere, WHO has signed deal to formulate herbal coronavirus ‘cure’ that has been fronted by Madagascar as a possible cure for the global pandemic.

Madagascar President Andry Rajoelina recently said trials of the Artemisia plant, the main component of Covid Organics (CVO) were ongoing.

Known under the scientific name of Artemesia Annua, the plant of Chinese origin was first imported to Madagascar in the 1970s to treat malaria.

So far, Madagascar has sent CVO to several African countries including Comoros Island, Guinea Bissau, Equatorial Guinea, the Democratic Republic of Congo, Liberia, Niger, Tanzania, Nigeria, Senegal and Chad.

CITIZEN TV

Kuna mtu alisema virusi hawana dawa.
 
Mabeberu wote wako busy kutafuta na kutengeneza chanjo ya korona bila kuwa na mpango wowote wa kutengeneza dawa, kwa nini wanafanya hivyo? Hii inaonyesha ujinga wao ndiyo maana wanaponda dawa ya Madagascar lakini wanajifanya hawajui wachina wanatumia dawa za jadi kutibu COVID.

Ukichukulia chanjo zao za magonjwa mengine wanazotulazimisha zina madhara ya pembeni, zinasababisha ulemavu na uuaji wa kizazi, wapo wanaosema chanjo hizi tunazopewa Afrika bure zina lengo la kutupunguza idadi na kufupisha maisha yetu kama Bill Gates na Prince William wa Uingereza wanavyotaka.

Wanaopna aibu kushindwa na mwafrika kwa ili hata kutokujua mashine za kupima COVID zina itilafu. Wanataka tuwategemee kwa yote hasa kiafya na kiuchumi kuwanufaisha wao, tunaita ukoloni mamboleo. Hizi chanjo za COVID lazima ziwe na lengo lingine zaidi kwetu siye waafrika, siajabu zitakuwa tofauti na wanazojipa wenyewe.

Cha msingi chanjo zao za mafua hazijafanya kazi kuzuia korona wala mafua yenyewe, walochanjwa wanapata mafua zaidi ya wasiochanjwa, sasa chanjo ya korona itakuwaje?
Kwanini usubiri kuumwa ndio utibiwe na usikingwe kabisa?
Rudi shule kajifunze tabia ya virusi na bakteria
 
Ulitungaje huo uongo? Mbona wamejaribu dawa mbalimbali hata za malaria kutibu korona? Kwani we hujui China wanatumia dawa za asili kutibu korona? Mbona hawajasema hivyo hata siku moja dhidi ya dawa ya Madagascar ila wanasema haijathibitishwa hawasemi hakuna dawa itakayo tibu? Mbona Ebola inatibika hata HIV wanatibu Ulaya sasa watu wanapona kabisa? Acha uongo na ujinga wa kutowajua mabeberu.
Inatakiwa ujibu hoja kwa hoja lakini kwa jinsi ilivyo naweza kusema we jamaa una upeo wa chini sana wa ufahamu kama utakua hufanyi makusudi kwamba huelewi unavyoelezwa
 
Haiko clear lakini inaelekea majaribio yatakuwa katika nchi masikini za Asia na Sab Sahara Afrika kama contribution yetu kwakua hatuna uwezo wa kichangia utafiti.
Je. Unafurahia hili? Kama hatuna wametuomba mchango tumekataa? Yaani, hatuna rasilimali wau ambao wangeweza kwenda kusaidia hata uchanganyaji wa reagents, kweli ? Waende zao!
 
JF raha sana...! Ha ha haaa.
Wakati korona imepamba moto wife alikua anawapiga watoto nyungu hadi nikaona huyu ataniulia wanangu
Chai matangawizi utadhani kaweka gunia la pilipili maji ya kunwa yamejazwa malimao........ achana kabisa
 
Virusi hawana dawa???-- unaposema dawa una maana kitu gani??
Kwa mijubu wa wataalamu kirusi kama kirusi hakina dawa ya moja kwa moja kukiua kwa namna kinavyojiweka kwenye mfumo wa sell

Maranyingi virus kama hawa wa covid 19 wanaondoka kwa mfumo wa kinga wa mwili na sio dawa
Dawa pekee iliopo ni ya kufubaza virus na kutibu magonjwa ambayo yatasababishwa na virus kukshambulia
Mimi sio dokta lakini mimi ni mchumi
 
Mimi sio dokta lakini mimi ni mchumi

Hapo umenena vyema.

Ni hivi; Chenye dawa ni ugonjwa. Sio kila ugonjwa unaosababishwa na Virusi hauna dawa inayoponesha hadi sasa, mfano ugonjwa wa HIV hivi leo hauna dawa wala kinga isipokuwa dawa ya kuwafubaza hao virusi tu ndiyo ipo.

Mfano, Ugonjwa wa (harpes?? Check spelling) unaosababishwa na Virusi unayo dawa inayoponesha. iliyogunduliwa Kenya, Ugonjwa wa Corona (Covid 19) unaosababishwa na virusi dawa yake inayoponesha ipo, virusi wa Corona wanapofika kwenye mapafu dawa yake ni kujifukiza na ama Mafuta ya karafuu (Concentrated) au Camphor oil au Vitunguu saumu auTangawizi nk, zilizoandaliwa kitaalamu kwa ajili ya tiba, vitu vyote hiyo ni Antivirals yaani Kirusi hakiwezi kuishi katika mazingira (in contact) ya hivyo vitu.

Sasa mtu anaweza kusema, na ndiyo sahihi, kwamba Ugonjwa unaosababishwa na Virusi hauna dawa inayoponesha (so far) kulingana na mazingira ya position ya hao virusi mahali vilipo (attacking zone), yaani ni mahali gani katika mwili hao virusi wapo ndiyo determinant/factor kwamba ugonjwa wa virusi hauna dawa au una dawa zinazoponesha, otherwise kusema in general kwamba magonjwa YOTE ya virusi hayana dawa inayoponesha sio sahihi.

Dawa ni kitu chochote kinachopambana na kiini cha maradhi.
 
Back
Top Bottom