Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

Girls like bad man......mtu mbadiii Kama mwaisa,rude boys/thung lovin huwa iko real.we unamchakata demu Kama muimba kwayaaa.....mamaeee mchakatee demu....ulimi sikioni....kidolee kwenye kinyeo....mashinee inazunguka pande zote,unamkunjaa sarakasi zote,ulimi unatembea pande zote....plus ass slapping,fanya unsual sex mzee babaa ndo maana ma Playboy Wana wini sana mademu zenu.
Hujamuelewa mtoa mada, Wanawake wengi hawawapi hata chembe ya nafasi ya kuwakubalia anyway minaona wako sawa ndo maana wale Wanawake waliotelekezwa na watoto siwaonei huruma hata kidogo
 
Huwa tunaogopa huyu mtu mkimya kweli ama ndiyo chini chini mambo yake(dillema).

Ila sijui tu kwa mimi mtu mstaarabu sana aarh anaboa mwisho mnaishiwa stories na anapenda mambo yaende formal formal tu😛 Bad boys bana mi nitest🤔
Aliyesema wanawake ni Zaidi ya mataahira hakukosea
 
Ilaa wadada wako sahihi tyuuu.... Sababu haiwekani jitu limepooza mixer kuwaonea aibu wadada...apewe nafasi kilahisi....

Wanawake wanapenda MTU mtundu , hapigiw anacheza, anavaa, vizur mwenye mvuto wa ngonoo....hahahhehe

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana huwa una bahati na wanawake hawa vicheche, hebu kutana na wale ladies uone kama hujafurushwa na kata k zako!
 
Hivi kwa nini mwanaume akiwa play boy kinadada mnampenda sana? Na akitongoza huwa hamruki? Utakuta mwanaume mstaarabu lakini wanawake wanamkimbia wakati ndo ingebidi wamkimbilie yeye.

Kwanini wanapenda wanaume ambao mara nyingi wanakuwa washakuwa na hata skendo za kutembea na madada madada sana kuliko cool boy ambae mtulivu na asiyependa mambo mengi.

Ukitaka kujua hili hebu chunguza hata hata hapo mtaani kwenu kwa mfano unakuta manzi anamkubali jamaa mifano ya wale jamaa waendesha bodaboda ambao wanakuwa wanapenda sana mademu mademu lakini akitongozwa na jamaa mstaarabu na mwenye stara zake unakuta anamchomolea.
Kwa sababu nao ni play girl.....
 
Play boy hana shobo
Anachukua namba anakukaushia hata mwezi bidada anajikuta anamaswali mengi anajikuta ashadata mudaa

Jamaa akijamcheki ni kuangusha mnazi tuu
Wanaume wengi wa ndoto za wanawake wengi ni wale ambao hawakamatiki, pole yao wanawake
 
Inaonekana huwa una bahati na wanawake hawa vicheche, hebu kutana na wale ladies uone kama hujafurushwa na kata k zako!
Lakini mzee pamoja na hayo hutakiwii kuzidishaa caca mikata K.....unatakiwa uwe mtanashatiii tyuuu... Mara kujiongeza hawachomokiii mkuuuu hata hao
#ladies....*
 
Lakini mzee pamoja na hayo hutakiwii kuzidishaa caca mikata K.....unatakiwa uwe mtanashatiii tyuuu... Mara kujiongeza hawachomokiii mkuuuu hata hao
#ladies....*
Ni kweli ila kwa hao ladies lazima uwe na pigo za kipapaa na si kuhuni huni, hata hawafagilii wahuni. Na hawa wengi wao huwa wa kishua so hawadanganyiki na ubishoo.
 
Halafu play boy akishawapachika mimba wanaanza kuwatafuta wanaume wastaarabu wawaoe. Wanawake ni wajinga Sana
NA NDIO MAANA KUOA SINGO MAZA NI MTIHANI, NI RISK KUBWA. PLAYBOY ATAKUWA ANAKUJA KUSALIMIA MTOTO NA KUCHEZA NA MKEO
 
Back
Top Bottom