Kwanini wake za watu wengi wanaongoza kuchepuka?

Mimi kunalimoja huku, limeshaanza kunipenda, asee toto lipo vzr, jeupeee!!!! la mtelezo afu lainiii!!!! anamikono minene kuelekea mabegani hadi raha, anaiachiaga wazi tuu, pia ana shundu/chura la kueleweka ni mke wa mtu na anamtoto mmoja. Ana miaka kama 38-40 hivi.

Huyu mwanamke ameanza kunipenda mwenyewe na dalili za kunitaka ameshanionesha kabisa.

Kwajinsi alivomzuri na alivo na chura, nimeshajiandaa muda wowote naenda kumsambaratisha marinda. Nimeshapanga na eneo zuri na salama kabisa la kwenda kumtafunia. Nitampiga show kali mpaka akamsimulie mumewe.
hhahahahahaha kumekucha kumekucha huku ndio haya nilikuwa nayasema hapa
 
Mim hata mwanamke nimpende vp nikigundua ana viashiria vya kutokua muaminifu tu achilia mbali kumfumania na mesej au nn yan nikiona kiashiria chchte kle Cha kutokua muaminifu namuacha hapohapo haijalishi ana uzur gani.
Hata siku nikioa sitafungia macho mwanamke asie muaminifu.
mkuu utaoa wangapi sasa unaonekana una wivu sana wewe jamaa kuna mmoja huko kusini sijui mbeya juzi nasikia kampiga na shoka mkewe hadi kufa saivi yuko ndani
 
mkuu utaoa wangapi sasa unaonekana una wivu sana wewe jamaa kuna mmoja huko kusini sijui mbeya juzi nasikia kampiga na shoka mkewe hadi kufa saivi yuko ndani
Mi sina wivu ila kugongewa mwanamke hiyo ni dharau iliyovuka mipaka na kosa siyo la mwanaume anaemgonga kosa ni la huyo mwanamke maana kama anakuheshimu hawezi kukuvua utu wako na aende kugongwa na msela mwngne hiyo ni dharau iliyovuka mipaka suala hilo hata aje anisuluhishe mama yangu mzazi sitakua tayari kulisamehe nitaachana na huyo mwanamke.
 
Kama mzinzi ni mzinzi tu, mume hana kazi moja ya kumchunga na kumpa hiyo care toka dunia nyingine ili tu asichapiwe. Ukiendekeza sana hiki anachokisema mleta uzi, utaishi kwa stress na mambo hayataenda kwa kua na wasiwasi sana na mkeo.

Weka mambo yako fresh, tafuta pesa, jali familia yako baasi, hiyo ya kutaka kumchunga tu eti aaichepuka hilo hutaweza kama ni tabia yake atachepuka tuu.
Kuna vitu unasahau sijasema kumchunga nimesema ndoa inakosa mvuto kwa walengwa wanaume wanasahau wake zao wanaanza kutaka furaha nje ya waume zao
 
Hill
Wenye Mko kwenye Ndoa Wapendeni wake zenu. Wake za watu wengi wako desperate sana yaani watu wamefunga ndoa kama wamelazimishana mtu yuko na mume wake hata miaka mingi haijapita ila mke unaona kabisa kamchoka mume wake kwa kila kitu hata kama ana mawe (pesa) mingi, vijana wapendeni wake zenu vinginevyo mtachapiwa sana wake zenu.
Limekuwa janga now
 
Wenye Mko kwenye Ndoa Wapendeni wake zenu. Wake za watu wengi wako desperate sana yaani watu wamefunga ndoa kama wamelazimishana mtu yuko na mume wake hata miaka mingi haijapita ila mke unaona kabisa kamchoka mume wake kwa kila kitu hata kama ana mawe (pesa) mingi, vijana wapendeni wake zenu vinginevyo mtachapiwa sana wake zenu.
Mkuu hili jambo umeandika halina formula ujue.

Hivi unavyosema vijana wawapende wake zao, je inawezekana mwanaume ukaishi na mwanamke bila kumpenda?

Halafu wewe uneandika kwa kujiamini kabisa kwamba haugongewi mkeo kwa sababu unampenda, unajibungua bongo kwa kuidanganya nafsi yako bila ya kutafiti.

Hapo ulipo unagongewa bila kuhisi dalili kwa sababu saikolojia yako ulishaiaminisha kwamba jambo hilo hauwezi kutendewa, kisha unampenda sana mkeo!

Kuchepuka kwa wanawake kunasabaishwa na mambo mengi sana, tukiyataja hapa utashangaa na utabishi.

Sababu moja wapo ni hii akigundua kama wewe mmewe 'umemfia' na hauna la kumfanya kwa jambo lolote na hauna pengine pa kushika.
 
True love kutoka kwa mke wa mtu🤣🤣😄
Screenshot_20210926-215742.png
Screenshot_20210926-215742.png
 
Ukishaoa,unajua busy na life,malovee huwezi yaendekeza Sana.
Na ulitaka kufeli maisha,wekeza akili zako kwenye mapenzi,sir wengine tunaiza chips huku vyuoni,Kama tungekua tunaendekeza mapenzi Basi tungefilisika,maana girls kibao,wanakuzunguka anytime,full kujibebisha,naona kamanda ungefanya kazi Kama yangu,sijui ingekuaje
 
Back
Top Bottom