drphone
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 3,542
- 281
nimeona tujadili hili swala hapa sijui kama limewaijadiliwa kuna tabia imezuka tena kwa kasi sana wanawake kuvaa pete za ndoa wengine za uchumba wengine zote mbili na ukweli awajaolewa wala awana mtu na kaupelelezi kangu kinaonyesha wanaume wengi mafataki wanapenda wanawake wa aina hiyo cjui kwa nn ebu tubalishane mawazo