Kwanini wajivalishe pete za ndoa na uchumba

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
nimeona tujadili hili swala hapa sijui kama limewaijadiliwa kuna tabia imezuka tena kwa kasi sana wanawake kuvaa pete za ndoa wengine za uchumba wengine zote mbili na ukweli awajaolewa wala awana mtu na kaupelelezi kangu kinaonyesha wanaume wengi mafataki wanapenda wanawake wa aina hiyo cjui kwa nn ebu tubalishane mawazo
 
Kila mtu na sababu zake.
Wengine hawataki wanaume baada ya kuumizwa,
wengine ni fasheni tu wasionekane manunga yemba.
Kila mtu ana sababu zake.
 
Kila mtu na sababu zake.
Wengine hawataki wanaume baada ya kuumizwa,
wengine ni fasheni tu wasionekane manunga yemba.
Kila mtu ana sababu zake.

ni kweli mkuu kila mmoja na sababu zake ila wengi wanakuwa na waume za watu
 
Dhambi kubwa sana kudanganya status 'feki'
Eti uonekane umeolewa kumbe siyo,
Utapewa mwanaume ambaye ni mtata hivyohivyo,
Kipimo upimacho ndicho utakachopimiwa na ufalme wa Mbinguni sababu umedanganya hapo,
Ukitangaza kupitia hizi mipete ya uchumba/ndoa wakati wala hata huko hujafika utapewa yule ambaye tayari ameshaoa mke/wake kadhaa au mwenye mikosi kadhaa.
Acheni hizo ishi kama mlivyo sawasawa na macho ya Mungu,kama hujachumbiwa ishi kama vile hujachumbiwa,kama hujaolewa ishi kama hujaolewa sawasawa na Mungu alivyokuweka wewe katika maisha yako!
Kazi njema!
 
Nampenda sana my dia darling.
Amenizidi kidogo umri, tulikutana uswazi na tukapendana bila kujua nyadhifa tulizonazo.
Baada ya kufahamiana nikagundua kanizidi miaka mitatu, kasoma kuliko mimi, amejenga nyumba nzuri na mimi nyumba yangu haijakamilika, nikagundua mengi, lakini yote ni kwamba amenipita parefu..
Hatukupendana kwa ajili status,,,,,, ni mioyo yetu iliongea na ikakubaliana..
Hakuwa na pete hata moja.
I love her very much.
Sitegemei chochote kutoka kwake.... Wazushi msije mkasema nalelewa mjini hapa.
 
nimeona tujadili hili swala hapa sijui kama limewaijadiliwa kuna tabia imezuka tena kwa kasi sana wanawake kuvaa pete za ndoa wengine za uchumba wengine zote mbili na ukweli awajaolewa wala awana mtu na kaupelelezi kangu kinaonyesha wanaume wengi mafataki wanapenda wanawake wa aina hiyo cjui kwa nn ebu tubalishane mawazo

...hizo ni dalili za kukata tamaa na kutojiamini!
 
Wanajua wanaume siku hizi wanapenda sana kutongoza wake za watu kuliko ma sista duu.
 
Habari ndio hiyo.

Zaidi, hata wasichana siku hizi hawataki kuolewa. Wanawinda wanaume walioa, wawajengee nyumba na kuwanunulia magari. Wanapendelea wanaume waliooa kwa sababu wanajiheshimu, wako busy na familia. Hii inawafanya wasichana kupata muda free kujirusha na kufanya mambo ya maendeleo independently kuliko kuolewa ambapo ina kuwa kana unalea JIPU LA KWAPA.

Ya nini kuolewa?
 
wote tunakuwa tunazuga all in all pesa ndio mwisho wa yote uvae pete au hata ring la baiskel at the money all drop
conquest
 
Habari ndio hiyo.

Zaidi, hata wasichana siku hizi hawataki kuolewa. Wanawinda wanaume walioa, wawajengee nyumba na kuwanunulia magari. Wanapendelea wanaume waliooa kwa sababu wanajiheshimu, wako busy na familia. Hii inawafanya wasichana kupata muda free kujirusha na kufanya mambo ya maendeleo independently kuliko kuolewa ambapo ina kuwa kana unalea JIPU LA KWAPA.

Ya nini kuolewa?

If you do me, I do you.
You rub ma back, I rub yours.
 
Back
Top Bottom