Kwanini waimbaji wa taarab wanafura haraka?

Darwin

JF-Expert Member
May 14, 2008
908
56
Unaona wadada wanaanza wakiwa wakuvutia miili mizuri lakini wakianza kupata umaarufu wanaanza kufura na wala hawajali miili yao.

Au nikule kuimba huku wamekaa?
Kwanini hawafanyi mazoezi?
 
figure is not an issue kwa hao, plus slow movement my friend, taarab sio rigorous activity kama kunengua
 
sio wao tu.Wasanii wa bongo wengi wanadhani kuvimbiana ni dalili ya utajiri. Mcheki prof J kwenye wimbo wa Mkono mmoja au Afandi Sele kwenye Malumbano. Ukiangalia mara moja utajiuliza hawa ni mapromota au wasanii?
Kwa kifupi mkuu gym wao wanazisikia na wanadhani zipo kwa ajili ya wapenda fujo au mabondia.
 
Wanaendekeza mambo ya ushoga si unajua pwani na mambo Yao!

Mchungaji bana....

4.JPG
 
Kwa asili waimbaji wa taarabu ni wakaazi wa mikuoa ya hukuwa Pwani. Ndiyo maana majina yao ni Mwanahawa, Mwanahela, Mwanahamisi na kadhalika. Watu wa Pwani sifa ya moja na kupenda kuonekana kuwa hali zao ni nzuri. Njia moja ya kuonekana kuwa una hali nzuri na kunenepa. Ukijazi ndiyo hata Wababa watakupenda maana utakuwa unavutia sana. Wanapenda kuonekana hali zao siyo mbaya!
 
Mbona huyu kutikavu mkuu?

Bi_Kidude_&_Taarab_Masters-.jpg
 
kazi kwelikweliiiiiiiiii. hiyo ya Rv Masanilo imekaa kivinginevingine kabisa...sasa na hao madada ni...........au hicho ulichosema ni kwa wanaume tu...
 
Back
Top Bottom