Kwanini waimbaji wa nyimbo za dini hawafanyi matamasha makubwa?

Madam Lucky

Member
Sep 22, 2018
44
36
Hallow

Mimi ni Muimbaji wa nyimbo za injili, nimejiuliza hill swali kwann sisi hatufanyi matamasha makubwa kama tunavyoona wenzetu wakifanya?

Shida ni nini? Maana najua tupo waimbaji wengi ambao tupo Tayar kuhudum ata bila malipo.

Sisi KAZI yetu ni kuhubili sio biashara hii.

Naomba tulijadili hili watumishi wa Mungu
 
hii kitu inaniumiza sana. ndio maana nasikiliza south african gospel sababu Bongo hakuna kitu. yani PC yangu ukiichek nina nyimbo za kizulu zaidi ya 1000 maana jamaa wanajua kuabudu na kusifu sijui sisis waswahili tunakwama wapi,
japokuwa John Lisu anajitahidi kufanya live DVD recording lakini hatuwezi kumsikiliza yeye tuu tuna hitaji Tamasha kubwa kama la SPIRIT OF PRAISE la south africa ambapo utaona wasanii/ waimbaji wengi zaidi ya 15 wakifanya live DVD recording na wanauza sana hadi kufikia Platinum sell, sio kazi ndogo. pia wenzetu wa Zimbabwe wameanza kama mchezo lakini sasahivi wapo vizuri sana. nafuatilia tamasha lao la ZIMPRAISE ambalo ni zuri sana. sijui sisi waswahili shida ni nini? kazi porojo tuuu

Mr. Msama Alex alianzisha Tamasha la Pasaka lakini nalo naona halifanyi vizuri sana najua sababu ya low budget na technology lakini ilikuwa ni Idea nzuri sana. Natamani hii kitu kingefanyiwa muundo mpya a kupewa jina jipya Mfano. TANZANIA PRAISE Halafu kila mwaka inafinyika mara moja ingependeza sana. baada ya kufanya live DVD recording Dar es salaam pia wangezunguka semu kama Arusha, Mwanza, Mbeya, Dodoma na mikoa mingine mikubwa nadhani ingekuwa safi sana
 
Umeongea jambo la maana sana, ila sasa Nani aanzishe?

Ndo ivo wenye maono hayo hatujiwezi, ni Nani atasaidia hili tatzo? Tunakufa na vipawa vyetu jaman
 
Wakuu naomba mwenye wimbo wa Bahati Bukuku ndani una mistari hii wanawake waliookoka kweli wana raha
Wanaume waliookoka kweli wana raha ukiangalia matendo yao jamani yanavutia maana Yesu ni kinga yao hawabahatishi
Wanaimba wanasifu wamepata kwa Yesu

Nipate jina la wimbo au link niudownload
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom