Na wayafanyie kazi haraka. Hawa jamaaa ni wajuaji sana.Asante sana kwa maoni hayo. Natarajia mamlaka husika zitafanyia kazi hilo.
Katika kuongezea kidogo. Si vibaya kwa ADA yaolakini MALIPO YETU ya hapa je?Inategemea Na organizer. Unaweza kukuta wazo Na kwenye kampuni Si mtanzania. Yeye anataka mkutano wake ufanyikie tz kwa sababu Kuna opportunity anayotaka kuonyesha/kuzungumzia. Huyu atakuwa Na sehemu ya kukusanya pesa ndo aje kwenye conference. Halafu kumbumba tz sasa Ni tshs.
Una mawazo gani mkuu kuhusu mfumo wetu?Kama mfumo wetu wa utawala unatoa mwanya wa sisi kupigwa, kwanini tusipigwe?
Ngosha ni nani mkuu?Ngosha ze Don kasema "sisi tuna mapesa mengi" soon ataanza kulipa madeni
Ahsante kwa reference.Mkuu Shige, haya mambo ni ya kawaida sana katika group booking, waandalizi wamepewa big discount kwenye hotels, kuondoa usumbufu kwa washiriki wa kimataifa, wanafanya one stop centre ya kulipa kila kitu including hotel booking ili kuondoa usumbufu.
Soma hii link uone vituko vya Zanzibar, hotel iko Zanzibar, lakini malipo ni Italy!.
Compensating zanzibar was one of 99 stupid things the gov of canada did in 2012!
Paskali
Hakuna sheria inayozuia mtu yoyote kuweka fedha zake popote. Kwa sheria yetu ya kodi, kodi inakatwa kwa mapato yaliyopatikana nchini tuu, hivyo wanachofanya hao ni kukwepa kodi.Paskal najua una ufahamu mzuri na udadisi mzuri, yaani You are a critical thinker. Je mchezo huu tuuuache uendelee ama tuje na namna ya kudhibiti japo nchi nayo inufaike?
Vinginevyo basi TRA wakaage macho. TUNALIWAGWA mno{ Sijui kama nikiswahili kizuri}
Ukiangalia hata TOURISM INDUSTRY malipo yanafanyiwa ng'ambo kwakutumia dola na Euro ni nini kifanyike?
Afadhali UTALII wameanza kuamuka kidogo wameweka ADA ya MAGARI YA toTOUR ya WAGENI na WENYEJI kulingana na IDADI ya magari yakila TOUR Co.
Nafikiri tulilalaga siku nyingi sana ni lazima kuwe na Policy ya mambo kama haya kwa manuufaa ya nchi.
Maoni yako ni yapi kwa hilo Mayalla Pascal?
Je tuwaachie open field wafanye wanavyojisikia?
Haki Inaumiza sana. Nafikiri Magufuli anapokazanati wengine wanaona anaharibu. Sasa kama wangetaka awaachie wale wachache na washirika wao wazidi WATULE tu kama walivyozoea?Hakuna sheria inayozuia mtu yoyote kuweka fedha zake popote. Kwa sheria yetu ya kodi, kodi inakatwa kwa mapato yaliyopatikana nchini tuu, hivyo wanachofanya hao ni kukwepa kodi.
Pia sheria ya uwekezaji as an investment incentives, mwekezaji anaruhusiwa kuhamisha faida yake yote nje ya nchi.
Watalii wengi wanaokuja kupanda mlima Kilimanjaro, wanapitia Kenya, malipo yote ya maana wanalipa kule, sisi tunapokea peanut!.
Huu ndio utandawazi wa kiuchumi, nyama wale wengine, sisi tunaachiwa mifupa na kusafisha makombo.
Paskali
Kweli tuligeuzwa kuwa shamaba la Bibi. Si ajabu katika msemo huo.Hakuna sheria inayozuia mtu yoyote kuweka fedha zake popote. Kwa sheria yetu ya kodi, kodi inakatwa kwa mapato yaliyopatikana nchini tuu, hivyo wanachofanya hao ni kukwepa kodi.
Pia sheria ya uwekezaji as an investment incentives, mwekezaji anaruhusiwa kuhamisha faida yake yote nje ya nchi.
Watalii wengi wanaokuja kupanda mlima Kilimanjaro, wanapitia Kenya, malipo yote ya maana wanalipa kule, sisi tunapokea peanut!.
Huu ndio utandawazi wa kiuchumi, nyama wale wengine, sisi tunaachiwa mifupa na kusafisha makombo.
Paskali
Mkuu umesemaje kuhusu namana ya kuziba huu MWANYA una WAZO lolote?Nakubaliana nawe kwa hili neno "MWANYA" Basi huu mwanya UZIBWE.
Mbona hujanijibu mkuu?Ngosha ni nani mkuu?
By the way kulipa madeni yapi?Ngosha ze Don kasema "sisi tuna mapesa mengi" soon ataanza kulipa madeni
yule mwenye 'muhimili' uliojichimbia chini kabisa mkuuNgosha ni nani mkuu?