Kwanini wageni wa maonyesho ya Power & Energy EXPO GROUP walipie malipo Dubai na si Tanzania?

shige2 ,

Mkuu,
Tunaibiwa na tuliowapa dhamana hiyo. Siyo kwamba hawaelewi.
Wanaelewa vizuri.

Acha tu vyuma viendelee kupasuka.
Mkuu Poise. Ni lazima kitu kifanyike tukomeshe ujanja ujanja.
Tukiacha vyuma viendelee kupasuka bila maoni mbadala tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida.
 
Inategemea Na organizer. Unaweza kukuta wazo Na kwenye kampuni Si mtanzania. Yeye anataka mkutano wake ufanyikie tz kwa sababu Kuna opportunity anayotaka kuonyesha/kuzungumzia. Huyu atakuwa Na sehemu ya kukusanya pesa ndo aje kwenye conference. Halafu kumbumba tz sasa Ni tshs.
Katika kuongezea kidogo. Si vibaya kwa ADA yaolakini MALIPO YETU ya hapa je?
 
Paskal najua una ufahamu mzuri na udadisi mzuri, yaani You are a critical thinker. Je mchezo huu tuuuache uendelee ama tuje na namna ya kudhibiti japo nchi nayo inufaike?
Vinginevyo basi TRA wakaage macho. TUNALIWAGWA mno{ Sijui kama nikiswahili kizuri}

Ukiangalia hata TOURISM INDUSTRY malipo yanafanyiwa ng'ambo kwakutumia dola na Euro ni nini kifanyike?
Afadhali UTALII wameanza kuamuka kidogo wameweka ADA ya MAGARI YA toTOUR ya WAGENI na WENYEJI kulingana na IDADI ya magari yakila TOUR Co.

Nafikiri tulilalaga siku nyingi sana ni lazima kuwe na Policy ya mambo kama haya kwa manuufaa ya nchi.
Maoni yako ni yapi kwa hilo Mayalla Pascal?
Je tuwaachie open field wafanye wanavyojisikia?
Hakuna sheria inayozuia mtu yoyote kuweka fedha zake popote. Kwa sheria yetu ya kodi, kodi inakatwa kwa mapato yaliyopatikana nchini tuu, hivyo wanachofanya hao ni kukwepa kodi.

Pia sheria ya uwekezaji as an investment incentives, mwekezaji anaruhusiwa kuhamisha faida yake yote nje ya nchi.

Watalii wengi wanaokuja kupanda mlima Kilimanjaro, wanapitia Kenya, malipo yote ya maana wanalipa kule, sisi tunapokea peanut!.

Huu ndio utandawazi wa kiuchumi, nyama wale wengine, sisi tunaachiwa mifupa na kusafisha makombo.

Paskali
 
Haki Inaumiza sana. Nafikiri Magufuli anapokazanati wengine wanaona anaharibu. Sasa kama wangetaka awaachie wale wachache na washirika wao wazidi WATULE tu kama walivyozoea?
Inauma sana
 
Hakuna sheria inayozuia mtu yoyote kuweka fedha zake popote. Kwa sheria yetu ya kodi, kodi inakatwa kwa mapato yaliyopatikana nchini tuu, hivyo wanachofanya hao ni kukwepa kodi.

Pia sheria ya uwekezaji as an investment incentives, mwekezaji anaruhusiwa kuhamisha faida yake yote nje ya nchi.

Watalii wengi wanaokuja kupanda mlima Kilimanjaro, wanapitia Kenya, malipo yote ya maana wanalipa kule, sisi tunapokea peanut!.

Huu ndio utandawazi wa kiuchumi, nyama wale wengine, sisi tunaachiwa mifupa na kusafisha makombo.

Paskali
Kweli tuligeuzwa kuwa shamaba la Bibi. Si ajabu katika msemo huo.
 
Back
Top Bottom