Kwanini waganga wajadi wasipigwe marufuku

stepper

Senior Member
Aug 7, 2013
112
56
Hapa nawalenga wale waganga wanaodanganya kwamba utapata utajiri , cheo kazini, n.k. Wanasababisha vifo na usumbufu bila huruma kwa mfano albino wanakufa kwasababu muganga ka agiza kiganja chakutengenezea dawa, watoto nao wanauliwa . Kwanini serikali inawafumbia macho au wao ndio wateja wakubwa wa waganga wa kienyeji.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mkuu waombe radhi fasta hao watu unamwagia mchanga kitumbua chao watakufanya vibaya ila hata mm ki siri siri naunga mkono hoja wafungiwe tu
 
Wapingwe marufuku wakati baba mwenye nyumba yupo nao kila atakapoenda anawaamini hawa viumbe kuliko Mungu aliye muumba.
 
Wahaya wamezubaa mno, badala ya kumkata kiganja cha mkono yule mganga muuaji kutoka geita aliyemuua na kumkatakata yule mtoto asiyejua chochote, eti wanampeleka polisi akiwa na afya yake.
 
Wakubwa serikalini ndio wateja wao wakubwa.....ukweli mchungu ni huu, tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani, I assure you, utaona mauwaji ya Albino na watoto yatakavyoongezeka, anaebisha abishe tu
 
Hapa nawalenga wale waganga wanaodanganya kwamba utapata utajiri , cheo kazini, n.k. Wanasababisha vifo na usumbufu bila huruma kwa mfano albino wanakufa kwasababu muganga ka agiza kiganja chakutengenezea dawa, watoto nao wanauliwa . Kwanini serikali inawafumbia macho au wao ndio wateja wakubwa wa waganga wa kienyeji.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

hujui kandika we rudi shure
 
Tukiboresha mashule,vyuo vya elimu ya juu,ufundi,upatikanaji wa ajira,mazingira bora ya kazi,mahospitali na vituo vya afya ndio suluhisho.
 
Prof.+Maji+Marefu.JPG

Pichani ni Mbunge na mganga maarufu profesa maji marefu.
 
Wapingwe marufuku wakati baba mwenye nyumba yupo nao kila atakapoenda anawaamini hawa viumbe kuliko Mungu aliye muumba.

Taratibu basi hadi kila mtu ajue!!.Aliwaambia waandishi wa habari atakayeandika habari za hao jamaa zake atakufa au atakuwa kichaa.Wao ndo wanamtabiria safari za kila siku ndo sababu hatulii!!
 
Hapa nawalenga wale waganga wanaodanganya kwamba utapata utajiri , cheo kazini, n.k. Wanasababisha vifo na usumbufu bila huruma kwa mfano albino wanakufa kwasababu muganga ka agiza kiganja chakutengenezea dawa, watoto nao wanauliwa . Kwanini serikali inawafumbia macho au wao ndio wateja wakubwa wa waganga wa kienyeji.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

utapeli upo kila nyanja, kwa taarifa yako wateja wao ni wengi sana labda ungesema walipe kodi!
 
Hapa nawalenga wale waganga wanaodanganya kwamba utapata utajiri , cheo kazini, n.k. Wanasababisha vifo na usumbufu bila huruma kwa mfano albino wanakufa kwasababu muganga ka agiza kiganja chakutengenezea dawa, watoto nao wanauliwa . Kwanini serikali inawafumbia macho au wao ndio wateja wakubwa wa waganga wa kienyeji.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kama hutojali siku nyingine kupunguza ukali wa hili neno sema walemavu wa ngozi inapendeza zaidi.

Ni kwa ni njema tu.

Wazo zuri sana wapigwe marufuku tu
 
Wewe unataka kuamsha maandamano toka kwao!! hao ni ndugu moja na al shabab,boko haramu na wale wa pale zanzuberi
 
Kama hutojali siku nyingine kupunguza ukali wa hili neno sema walemavu wa ngozi inapendeza zaidi.

Ni kwa ni njema tu.

Wazo zuri sana wapigwe marufuku tu

acha kujifanya unajua wakati hujui wewe. Neno sahihi ni albino na linatumika hadi kimataifa kumaanisha mwenye ulemavu wa ngozi. Maneno yasiyotakiwa ni zeruzeru, mzungu, dili na mengine ya mtaani ila albino halina tabu nimesomea izo mambo za special ed so take care
 
Back
Top Bottom