Hapa nawalenga wale waganga wanaodanganya kwamba utapata utajiri , cheo kazini, n.k. Wanasababisha vifo na usumbufu bila huruma kwa mfano albino wanakufa kwasababu muganga ka agiza kiganja chakutengenezea dawa, watoto nao wanauliwa . Kwanini serikali inawafumbia macho au wao ndio wateja wakubwa wa waganga wa kienyeji.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums