Mzee23
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 1,696
- 3,472
Husemi uongo mkuu, jamaa ACHAPE KAZIUlifata kazi au kukaa na watu kwenye seat? Chapa kasi.
Husemi uongo mkuu, jamaa ACHAPE KAZIUlifata kazi au kukaa na watu kwenye seat? Chapa kasi.
Kuna watu huwa hawaoengei sana wanaitwa "introverts" kuna wale wanaoongea sana wanaitwa "extroverts". Kajifunze zaidi kwa muda wako. Hiyo "ana kanyaro" futa kichwani kwako na wasaidie huko Bukoba na Rwanda kufuta vichwani mwao.
Husemi uongo mkuu, jamaa ACHAPE KAZI
Aise kumbe tunatofautiana mimi ni mkimya kama wewe nikipanda kwenye gari nitafurahi kama sitakaa na mtu yeyote wala kuongeleshwa kifupi sipendi story isiyo na mwisho wa kuniingizia pesa mfukoni.
Mbona kawaidaa sana mimi ni almost kila sikuu tena usafiri wa uma..!! Mpaka najiulizagaa tatizo nini
Tatizo wanaogopa wasijeliwa kimasihara
"ana kanyaro". Nadhani ni kilugha cha Bukoba au Rwanda.
hahaaa mimi pia mkuu hua napitia hii...sio muongeaji asee na mtu akiniongelesha naona kama namaliza energyAise kumbe tunatofautiana mimi ni mkimya kama wewe nikipanda kwenye gari nitafurahi kama sitakaa na mtu yeyote wala kuongeleshwa kifupi sipendi story isiyo na mwisho wa kuniingizia pesa mfukoni.
Waweza jiona mtanashati lakini unatoa harufu kali zaidi ya beberu, na bahati mbaya waweza kuta husikii harufu yako, na the way you don't talk with people, no one atakuambia zaidi ya kukaa mbali na wewe! Kanunue perfume nzuri!Mwanzoni sikuwa nachukulia serious hadi miezi ya hivi karibuni ilipotokea nimebadilisha makazi.
Kifupi mimi ni kijana, mtanashati, ila sio muongeaji sana kwa watu nisio na mazoea nao au katika mazingira mapya. Pia huwa sipendi kuzungumzia mambo mepesi mepesi kuhusu watu au vitu. Ni mara nyingi nimewahi kusikia kuwa watu husema Mimi ninaringa sana.
Sasa kuna kitu Kama nimekinotice siku za hivi karibuni. Nimehamia eneo lingine kikazi. Na asubuhi tunatumia Bus la kazini kwenda ofsini. Ila kuna kitu nimekiona na imekua Kama trend flani hivi. Nikiwa kwenye bus ambapo Kuna nafasi wazi tu ila watu wakiingia huwa as if wanakwepa kukaa seat niliyopo hadi seat yangu iwe last option. Hii imeibua maswali ndani yangu kwa nini iko hivyo wakati niko mazingira mapya !!
Je umewahi kukutana na hali hii? Na nini tafsiri yake?
Daah basi mpk sa hivi utakua bilionea aisee,maana kila anayekuongelesha ni story za mapesa tu.Aise kumbe tunatofautiana mimi ni mkimya kama wewe nikipanda kwenye gari nitafurahi kama sitakaa na mtu yeyote wala kuongeleshwa kifupi sipendi story isiyo na mwisho wa kuniingizia pesa mfukoni.
Acha kujishtukia! Umeshasema umehamia eneo lingine la kazi! Kwa maana nyingine tayari umekuta wafanyakazi ambao tayari wamesha-bond to each other! Sasa chukulia enzi unasoma, na-assume umesomea mjini kama Dar es salaam! Ile unafika kwenye daladala, unakuta siti kadhaa zenye mtu mmoja mmoja; je utakaa siti yoyote ile au utaangalia siti ambayo kuna mshikaji mnayefahamiana vizuri?!Sasa kuna kitu Kama nimekinotice siku za hivi karibuni. Nimehamia eneo lingine kikazi. Na asubuhi tunatumia Bus la kazini kwenda ofsini.