FactNayashuhudia huku Iringa hayo, mzee ana miaka 30+ kazini ameshajipanga vizuri lakini kang'ang'ania nyumba ya umma na kibaya amegeuza kuwa stoo, halali Wala familia yake haipo mazingira haya. Watumishi wahitaji wapo wengi, ndio maana huwa tunalogana ni Ubinafsi wa juu sana. Kwa mara ya kwanza nimewaza kuloga mtu!
Ndugu kwenye mazungumzo huyo mdau ndio akajisema kwamba amesha jenga nyumba mimi sijamchunguzahutakiwi kuingilia maisha ya watu kama kajenga ni kwa ratiba zakw na bajet zake, na ww jenga kwa ratiba zako na bejt zako, anyestahili kuhama kwenye nyumba ya serikali mtumishi analiyehama au aliyestaafu, sasa kama bado ni mtumishi kumlazimish ahame ww ndo utakuwa na matatizo, kwanza kuchunguza kam mtu amejenga au hajajenga ni umbea, we fuata yako kama zimejaa kapange nje,
cha muhimu mbane mwajiri wako ajenge nyumba kulingana na watumishi wake au la awekr mpango maalum wak uqccomodate watumishi wake kams ni kutoa housing allowance basi!Ndugu kwenye mazungumzo huyo mdau ndio akajisema kwamba amesha jenga nyumba mimi sijamchunguza
Hili Ndio Suluhisho, Sio Kumuondoa Mtumishi hali ya kuwa bado Yupo Kazinicha muhimu mbane mwajiri wako ajenge nyumba kulingana na watumishi wake au la awekr mpango maalum wak uqccomodate watumishi wake kams ni kutoa housing allowance basi!
Tuache unafiki hata ungekuwa ni wewe,umepewa nyumba ya Serikali,harafu umejenga ya kwako,lazima ya kwako utapangisha Ili upige pesa huku wewe na familia yako mkiendelea kujamba mishuzi kwenye nyumba ya Serikali,ni Swala la opotunity tu.fulsa.Unakuta mfanyakazi anahitaji nyumba ya kukaa ni mgeni kabisaa lakini utakuta aliyemtangulia kazini ameshajenga nyumba lakini haiachii.
Huu ni ubinafsi wa hali ya juu, kiungwana mpishe mwenzio hamia nyumba yako.
Polisi na Wanajeshi wanapewa hizo allowancesKwa nini serikali ilifuta allowance za nyumba, usafiri, maji, umeme kwenye mishahara ya watumishi wake, hii inaonyesha jinsi serikali ilivyofanya hili kwa makusudi kubana maslahi ya watumishi..........maana mshahara wa laki tatu ukiondoa allowance za nyumba, usafiri, maji, umeme sioni kama kitabaki kitu hapo. Kama serikali inawalalia watumishi wake, iweje wawe na ujasiri wa kuwakaripia waajiri binafsi kuhusu kuwalipa wafanyakazi wao mishahara midogo........hizi ndo ajenda vyama vya upinzani vinatakiwa kuongea ili kuendelea kuaminika kwa wananchi....
Kuwe na mpango maalum kama jeshini ukiwa kuruti unakaa kambini kwa miaka 6 ,ukishafikisha miaka 6 ruksa kwenda uswahilini....na waweke kwa watumishi wanaokaa kotaz mwisho miaka 10 tu.
Samahani naomba uniongezee akili.Kwa nini serikali ilifuta allowance za nyumba, usafiri, maji, umeme kwenye mishahara ya watumishi wake, hii inaonyesha jinsi serikali ilivyofanya hili kwa makusudi kubana maslahi ya watumishi..........maana mshahara wa laki tatu ukiondoa allowance za nyumba, usafiri, maji, umeme sioni kama kitabaki kitu hapo. Kama serikali inawalalia watumishi wake, iweje wawe na ujasiri wa kuwakaripia waajiri binafsi kuhusu kuwalipa wafanyakazi wao mishahara midogo........hizi ndo ajenda vyama vya upinzani vinatakiwa kuongea ili kuendelea kuaminika kwa wananchi....
Kwa kuwa haya mambo yaliigwa kwa wazungu, hilo swala la kulipa mishahara plus allowance lazima lilikuwepo.....siyo kwa mashirika ya umma peke yake na kwa maofisa wa ngazi za juu, bali kwa wafanyakazi wote.Samahani naomba uniongezee akili.
Hivi hizi allowance za nyumba wanazolipwa watumishi kwenye baadhi ya MASHIRIKA YA UMMA zamani zilikuwa zikilipwa kwa watumishi wote?
Kuanzia mwaka gani zilifutwa?
Haiwezekani kila kazi na utaratibu wake.Kuwe na mpango maalum kama jeshini ukiwa kuruti unakaa kambini kwa miaka 6 ,ukishafikisha miaka 6 ruksa kwenda uswahilini....na waweke kwa watumishi wanaokaa kotaz mwisho miaka 10 tu.
Hata hivyo kwenye kazi yeyote, kuna utaratibu wa kupewa nyumba ya serikali, na namna za kuziachia.Ndugu kwenye mazungumzo huyo mdau ndio akajisema kwamba amesha jenga nyumba mimi sijamchunguza
Kuruti anakaa jeshini/kambini miaka 6 yote anafanya nini?
Au ulimaanisha Askari wapya?
Yes askari wapya sie tulikuwa tunawaita MAKURUTI....Wakishamaliza mafunzo ya miezi 6 wanapelekwa kwenye vikosi as wapya ndio tunawaita recruit.
Mkuu shangaa hawa hapa....
Tatu, uchoyo tu na roho mbaya ya mwanadamu, halafu nne na mwisho na wewe mgeni si umepewa hela ya kujikimu?