Kwanini waende Sweden kula Pasaka na kuacha watoto 3?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Huu sio utamaduni wetu.

Mpaka baba mtu kaamua kuwapeleka angalau Ibiza wakapate hata kapiza. Diamond hivyo sio tulivyokulea. umependa boga, penda na maua yake. Ungekuwa wewe ndo mmoja kati ya wale watoto ungejiskiaje kuona mama amekuwa manipulated kuandamana batani na kubeba katoto kamoja tu ka nje?

Mama mtu nae haulizi wajukuu wako wapi, wanaendeleje, anafakamia Wine tu. Aaah kweli Tandale to Sweden, hii route imeniacha hoi.
 
Wewe wako,umeshampeleka hata hapo znz? Au hata mama yako umempeleka holiday sehemu yoyote ile? Jali yako,wamepelekwa na baba yao,kwani kuna ubaya gani? Juu ya kuachana hao watu,( zari na Ivan)angalau,wote wana play part kuhusu malezi ya watoto wao
 
Huu sio utamaduni wetu.

Mpaka baba mtu kaamua kuwapeleka angalau Ibiza wakapate hata kapiza. Diamond hivyo sio tulivyokulea. umependa boga, penda na maua yake. Ungekuwa wewe ndo mmoja kati ya wale watoto ungejiskiaje kuona mama amekuwa manipulated kuandamana batani na kubeba katoto kamoja tu ka nje?

Mama mtu nae haulizi wajukuu wako wapi, wanaendeleje, anafakamia Wine tu. Aaah kweli Tandale to Sweden, hii route imeniacha hoi.
kwa taarifa hao watoto wa zari baba yao ana mpunga mrefu kumzidi huyo diamond, wale watoto hawana shida hata kidogo, ingekua baba yao maskini hapo tungesema kafanya vibaya, wale watoto wamekula sana bata ulaya na baba yao, uache kuongea vitu vya kijinga,
 
Huu sio utamaduni wetu.

Mpaka baba mtu kaamua kuwapeleka angalau Ibiza wakapate hata kapiza. Diamond hivyo sio tulivyokulea. umependa boga, penda na maua yake. Ungekuwa wewe ndo mmoja kati ya wale watoto ungejiskiaje kuona mama amekuwa manipulated kuandamana batani na kubeba katoto kamoja tu ka nje?

Mama mtu nae haulizi wajukuu wako wapi, wanaendeleje, anafakamia Wine tu. Aaah kweli Tandale to Sweden, hii route imeniacha hoi.

Hivi wewe inakuhusu nini?

Fanya na wewe uwapeleke wote kama unaweza. Au ni wivu kwa mwanamme mwenzio?
 
Wewe ungefanyaje kutokana na mfuko wako. Wakati unaweza kuchukua watu wawili pamoja na wewe
 
Board member katika hili umechemka mbaya.

Unless kungekuwa na contradictory story kwenye media kuhusu baba ya hao watoto watatu kulalama kwamba wameachwa.

Lakini wewe kuanzisha mada kama hii. Naona huna uelewa hata kwa kusoma kuhusu ndoa za mwanamke mwenye watoto zaidi ya baba mmoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom