Kwanini wadahiliwe wengi vyuoni kama hawawezi kupewa ajira?

manock

Member
Nov 7, 2016
97
37
Nashindwa kuwaelewa wanaodahili vijana wengi halafu siku ya kutoa ajira wanatoa ajira chache. Sasa mlidahili wa nini? Wapate elimu halafu wakajiajiri na wasipojiajiri hela ya kurudisha mkopo wataitoa wapi?

Serikali haioni inapoteza pesa pale wanachuo wanapohitimu na kukosa ajira? Siku hizi la saba science wanaajiri masters. Kweli hii ni balaa!
 
Back
Top Bottom