Kwanini wadada wengi wakisaidiwa na kutoka kimaisha wapenzi wao, huwasaliti?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Mara nyingi nimeshuhudia, akina dada wengi wanasaidiwa hasa kupelekwa shule na wapenzi wao, baadaye huwakataa na kuwaona hawafai, hapa tatizo huwa nini? Nawasilisha
 
Maana yake ni kwamba walikua nao kwa nia ya kuwatumia!Au mapenzi yameisha...ikitokea hivyo huwezi kubaki na mtu kisa tu alikusaidia!Msitumie kigezo cha kumsaidia mtu kama kifungo cha kimapenzi!
 
alikukubali kwa sababu alitaka kusoma si kwamb alikupenda kwa dhati.... Na inapotokea amepata elimu basi anakubwaga! Hi ni sawa na mwanaume ambae anatamani au mwanamke ambae anatamani mtu si kumpenda ila amemtaman kwahy baadae akikuchoka anakubwaga..that's all.
 
Sababu ni kwamba kabla ya kwenda kusoma alikuwa somehow "innocent" hivyo baada ya kupata mwanga fulani wa maisha anaona huyo bwana hamfai. Sababu nyingine ni kuwa katika hali ya uchumba kwa muda mrefu mwishowe huchoka/hukinai, tofauti na ndoa ambapo mkataba unakuwa umeshafungwa hivyo ni vigumu kuuvunja ndio maana watu husema ndoa ni kuvumiliana na mapenzi yanakuwa hayapo (sio kwa wote) na pia wakifikiria watoto ambao watakuwa wameshazaa pamoja basi mwanamke anaona bora kuvumilia.
 
Mara nyingi nimeshuhudia, akina dada wengi wanasaidiwa hasa kupelekwa shule na wapenzi wao, baadaye huwakataa na kuwaona hawafai, hapa tatizo huwa nini? Nawasilisha

tindikali, 'Masikini/mwenye njaa hana uchaguzi' akipata sasa, ndio anachagua anachokipenda...
 
Mh hakika nimejifunza kupitia kwenu, kwa hiyo ukiwa na unafuu hupaswi kumsaidia unayempenda?
 
Usimsaidie mtu sababu unampenda, msaidie kwasababu anahitaji msaada au wewe unajisikia kumsaidia :help: :help: :help:
 
kama vipi ka m2 anataka kusoma au kusaidiwa na shaur atume maombi na kama vp fom ajaze kam unataka returns akugee...
 
Mh hakika nimejifunza kupitia kwenu, kwa hiyo ukiwa na unafuu hupaswi kumsaidia unayempenda?

Jambo la muhimu kama unampenda na kwa-kumpenda unataka kumsaidia. jiulize je, yeye anakupenda? Zaidi ya hapo akijitahidi saaana ni kuwa na wewe kwaajili ya kulipa fadhila na kuogopa laana tu
 
kama vipi ka m2 anataka kusoma au kusaidiwa na shaur atume maombi na kama vp fom ajaze kam unataka returns akugee...

Ha ha ahaaa, hii imetulia mkuu, maybe inaweza kusaidia! :help: :help: :help:
 
Mara nyingi nimeshuhudia, akina dada wengi wanasaidiwa hasa kupelekwa shule na wapenzi wao, baadaye huwakataa na kuwaona hawafai, hapa tatizo huwa nini? Nawasilisha

Kwani wakati watoa msaada yeye alikua hafi kifo cha mende..... tayari.. umefaidi naye kafaidi. Mwisho wa habari.
 
mbona hata wanaume huwa wanawaacha wanawake waliotafuta nao pindi wanapofanikiwa kimaisha?
 
Jambo la msingi ni kuwa kuna swala la kupenda na upande mwingine ni kusaidia. Si sahihi kutumia rungu la msaada kama chambo cha kujenga penzi.
 
...TENDA WEMA UENDE ZAKO! Methali hii ilituongoza enzi zetu. Maana yake: msaidie mtu kwa nia ya kusaidia, don't attach strings, ...or u'll be disappointed!
 
...TENDA WEMA UENDE ZAKO! Methali hii ilituongoza enzi zetu. Maana yake: msaidie mtu kwa nia ya kusaidia, don't attach strings, ...or u'll be disappointed!
 
Nna rafik yangu analalamika kila siku, kampiga pind demu wake toka yupo o level, kafaulu na sasa yupo 1st year hapo Ardhi, hamtak tena jamaa, anadai alimkubal kwa kumuonea huruma, jamaa analalamika kwamba huruma yake imezidi
 
Tatizo ni kwamba huyo binti anakuwa na malengo yake na wala hana mapenzi naye na hii inaweza kuchukua zaidi ya miaka mingi na dume likijua linapendwa kumbe linapungwa,kwahiyo ikijatokea yakifanikiwa hayo malengobac anambwag
 
Back
Top Bottom