Wakuu,
Ni ukweli usiopingika kua kwenye swala la ndoa wadada wengi hupenda kuolewa na wanaume wenye umri mkubwa mara nyingi kuanzia mwanaume mwenye 30+ adi 45.
Wanaume/wavulana wenye umri mara nyingi kati ya 20-25 anaweza kua kwenye uhusiano na mdada hata miaka mi 5 mfululizo na wameahidiana kuoana lakini utashangaa anaolewa na mshikaji mwingine mwenye kaumri kakubwa kidogo hata kama wamejuana mwezi mmoja.
Ninamfano mdogo tu,kunarafiki yangu anamiaka 25, alimaliza chuo mwaka jana hivi sasa anasubiri ajira za Rais Magufuli, japo kupata ajira ni lazma, amekua kwenye mahusiano na mdada mmoja tangu 2011 lakini jamaa kaachiwa manyoya hivi hivi mwezi huu coz yule mdada kapata mshikaji mwingine anamiaka 34 hivi na sasa taratibu za harusi zinafanyika.
Hii inadhihirisha wadada wengi wa miaka hii wanapenda kuolewa na wanaume wenye umri above 30.
Kwanini wadada wengi wanapenda kuolewa na washkaji wa umri huu?
Fanya uchunguzi utaona.
Mabibi na mabwana naomba kuwasilisha.