Kwanini wadada huwa mnaamini mwanaume asiye na haraka ya kulala na wewe ndio anakupenda?

Hakuna mjanja ataingia dukani kununua viatu akiwa mpeku, kuna natumia mbinu hii…. tena nimemwambia kabisa nina demu mwingine ila anashangaa kila akinipigia napokea anytime.

Sasa yeye ndo ameanza kukolea anakuja juu na haamini tena kama nina mwingine anadhani nimemtania, bado namvutia pumzi kama simtaki vile.!
 
Wanawake hudanganywa kwa njia moja kila siku na wanaume wengi tunatumia njia hii kuwadanganya naweza nikavumilia hata miezi mitatu ilimradi tuu nipate mbususu na kishipata basi....

Wanawake wanavipimo vya ajabu ajabu kuhusu upendo...yani wakiona mwanaume aombi mbususu wanaona anafaa kumbe wasichojua kuwa ana vumilia tuu..mwanaume hawezi kuwa kwenye mahusiano na mtu akae mwezi hajaomba mbususu..akiona utamsumbua anacunga uvumilivu ili apate mbususu

Huo muda wa kuvunga anakuwa anayo mbususu nyingine, so ni full hujifanya hana njaa kali.
 
Ukiona mdada anakwambia subiri,Ujue kuna mtu huko anaenda kuachwa(Kupigwa tukio)
 
Utamu tunao wenyewe kule tunafata mtelezo.... Mindfulness tu tabia haijifichi pindi ashakenua ngoko zake atajua hajui.
 
Sasa mtu kabla hujaomba akutembelee ushapigwa vizinga kibao,yann kuchelewa kula mbususu banaaa

mimi hata day one nakula mzigo -mambo ya ustaarabu nafanya kwa wife
 
Back
Top Bottom