Kwanini wadada (Females) Wanapenda Zaidi Ndoa Kuliko Mwoaji?

nafikiri wanbase zaidi kwenye ethical issues. hiyo ya kusomana huku mkifanya uasherati without any guarantee of ending in legitimate mariage nafikiri siyo ethical kiasi cha kutosha. so kwa mimi mdada kama huyo nitamshauri asome signature yangu na kujizuia na kila mtego wa uasherati
 
Kuna wadada ving'ang'anizi sana! Unakutana nae hata wiki haijaisha anaanza kuleta habari za ndoa. Hata hamjasomana vizuri kujuana tabia yeye anaweka ndoa mbele kuliko kukufahamu wewe mwoaji.

Katika ka-research kangu kadogo nimegundua mambo yafuatayo:

  • wadada wa aina hiyo mara nyingi huwa wanataka kuosha kwa wenzie na jamii kwa ujumla kwamba nao waliolewa kwa ndoa, potelea mbali hata kama itadumu kwa wiki moja.
  • pressure kutoka kwa wenzie walioolewa.
  • frequency ya kuachana na maboy-friend na yenyewe inachangia binti kutafuta permanent residence!

na wengi wao ni wale ambao wakiingia mapenzini hawajui wanatafuta nini...!!!
 
Kumbe ndio maana siku hizi mkitutongoza mnagusia habari ya ndoa mnafikiri tunapenda kuolewa.
Maisha ya ndoa ni headache kwa kweli.
 
the more inavyochakaa, the more kama njemba zipo nyingi!
oraiti, kumbe bora ichakae kweye permanent residence au sio Pauline?

kaka angu ni ngumu sana hii bidhaa kuchakaa kwenye permanent residence labda kama zamani ulichakachuliwa sana kabla hujaolewa ila kama ulizoea kuji2nza haichakai kamwe
 
ni kwa sababu ya ile kitu yetu,the more you have partners the more inachakaa and less chances of finding someone who will be interested na hio bidhaa...so we always pray tunayempata ndio huyo atayeclose deal!!!:redfaces::redfaces:

si kweli kabisa Sir God creative bana, hii kitu mpaya daily inavyopata mteja mpya kwani machangu hawaolewi,
halafu kutokana na uchangiaji wako am worried na jinsia yako we si wa kike..............
 
Sio kweli maana siku hizi hakuna muoaj hat mmoja wote wachakachuaji tu bwana wewe. Ndoa leo after two weeks kwishiney wapi na wapi bwana wewe???? Wizi mtupu kwanza mie na ndoa za siku hizi hata michango sitoi kabisa hazifaiiiiiiiii mnaotaka kuolewa kazi kwenu sie aaahhh tunmeshachakachuliwa!!!!!!
 
Kuna wadada ving'ang'anizi sana! Unakutana nae hata wiki haijaisha anaanza kuleta habari za ndoa. Hata hamjasomana vizuri kujuana tabia yeye anaweka ndoa mbele kuliko kukufahamu wewe mwoaji.

Katika ka-research kangu kadogo nimegundua mambo yafuatayo:
  • wadada wa aina hiyo mara nyingi huwa wanataka kuosha kwa wenzie na jamii kwa ujumla kwamba nao waliolewa kwa ndoa, potelea mbali hata kama itadumu kwa wiki moja.
  • pressure kutoka kwa wenzie walioolewa.
  • frequency ya kuachana na maboy-friend na yenyewe inachangia binti kutafuta permanent residence!

Hapa nadhani utakuwa ume payuka tu u dont mean what yuo say,kisa umeombwa kuoa basi ndo njjjiiiiiiiiiiii mpaka jamii foruom eti wa dada wa siku hizi....sssssssss...........xxxxxxxx.......type
 
Heshima,kuchoka kutangatanga na break ups kama mimi,na sometimes umri jamani,muwe mnawaelewa!mi bado umri but kweli huku kuachana na watu kila nikiwachoka kumenichosha sasa.lol
 
si kweli kabisa Sir God creative bana, hii kitu mpaya daily inavyopata mteja mpya kwani machangu hawaolewi,
halafu kutokana na uchangiaji wako am worried na jinsia yako we si wa kike..............

hahaaa wewe endelea kujidanganya kuwa inabaki kuwa mpya kadri inavyotumika!ukija kukimbiwa usiseme sikukwambia.....lols

kuhusu machangu kuolewa,hio nadhani lack of experience za muoaji na factors nyengine,mtu mwenye enough experience na wadada i mean mwanaume ambaye keshatembea sana na wadada...hawezi kuchukua mwanamke ambaye nanihi yake ishachakazwa na uchangu!...sore km kwa wadada itakuwa offensive ila ndio ukweli

kuhusu jinsia yangu mie ni Ke.km una wasiwasi kuhusu hilo theres nothing i can do about it...kama ilivyo kwako..there s no way i can tell...!
 
ni kwa sababu ya ile kitu yetu,the more you have partners the more inachakaa and less chances of finding someone who will be interested na hio bidhaa...so we always pray tunayempata ndio huyo atayeclose deal!!!:redfaces::redfaces:

Hapa mimi ndio nashangaa kabisa,hivi huwa inachakaa,inachakaa vipi?Na ikichakaa inakuwaje?Mbona mimi nilikuwa namchakachua dada yake baba mwenye nyumba wangu, ana miaka 63 na ana watoto wanane wengine wakubwa kunizidi na wala sikuona uchakavu wake.Hebu mnisaidie tu inachakaa vipi hiyo kitu?
 
With all this Chiniese products na cosmetic surgeries bado inachakaa???? I doubt it. Lakini what I think kinachochakaa zaidi ni heshima, na status katika Jamii.

Aaaah, VoiceofReason, nakubaliana na wewe asilimia zote kwenye hiyo red.
 
Hapa mimi ndio nashangaa kabisa,hivi huwa inachakaa,inachakaa vipi?Na ikichakaa inakuwaje?Mbona mimi nilikuwa namchakachua dada yake baba mwenye nyumba wangu, ana miaka 63 na ana watoto wanane wengine wakubwa kunizidi na wala sikuona uchakavu wake.Hebu mnisaidie tu inachakaa vipi hiyo kitu?

kama unaamini huwa hazichakai baki ukiwa unaamini hivyo ila hukuwa na haja ya kudanganya hapa na hii stori ya kutunga hata mtoto atajua hapa umeongopa,sijui ili iweje mwanawane????:redfaces::redfaces::redfaces::teeth:

Kwa hiyo na wewe ulikutana na fataki wa kike au,
Anyway labda ndo hayo wasemayo YA KICHINA.
 
kama unaamini huwa hazichakai baki ukiwa unaamini hivyo ila hukuwa na haja ya kudanganya hapa na hii stori ya kutunga hata mtoto atajua hapa umeongopa,sijui ili iweje mwanawane????:redfaces::redfaces::redfaces::teeth:

Sasa huamini nini hapo mpaka uniambie ya kutunga,kwani kuna nini cha ajabu hapo ambacho hakiwezekani?Nikikusimulia experience yangu katika haya mambo utashangaa na nadhani server ya JF itajaa kabla sijamaliza.
 
Huwa zinachakaa? siwatafanya mazoezi yako yale?
ni kwa sababu ya ile kitu yetu,the more you have partners the more inachakaa and less chances of finding someone who will be interested na hio bidhaa...so we always pray tunayempata ndio huyo atayeclose deal!!!:redfaces::redfaces:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom