Kwanini wadada (Females) Wanapenda Zaidi Ndoa Kuliko Mwoaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wadada (Females) Wanapenda Zaidi Ndoa Kuliko Mwoaji?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by payuka, Dec 30, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kuna wadada ving'ang'anizi sana! Unakutana nae hata wiki haijaisha anaanza kuleta habari za ndoa. Hata hamjasomana vizuri kujuana tabia yeye anaweka ndoa mbele kuliko kukufahamu wewe mwoaji.

  Katika ka-research kangu kadogo nimegundua mambo yafuatayo:
  • wadada wa aina hiyo mara nyingi huwa wanataka kuosha kwa wenzie na jamii kwa ujumla kwamba nao waliolewa kwa ndoa, potelea mbali hata kama itadumu kwa wiki moja.
  • pressure kutoka kwa wenzie walioolewa.
  • frequency ya kuachana na maboy-friend na yenyewe inachangia binti kutafuta permanent residence!
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  I think its Just Security na Desire of Having a family.... kwa sisi wanaume is easy kuwa na partner huyu kesho yule, na kwenye society usionekane vibaya sana kama mwanamke akiwa na partners wengi kwa society anaonekana hafai na sio heshima. Pia who wants to be played.
   
 3. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni sawa mkuu, lakini najiuliza kipi kinatangulia kabla? kati ya kumpenda mwanaume wako atakayekuwa mumeo na kuipenda ndoa?
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ndoa is like "an offer very hard to be refused".......... kwahiyo kwa yule atakayeiweka offer hii on the table ni bora kuliko yule anayetaka matanuzi - anyway ngoja kina dada wenyewe wajibu nisiwajibie
   
 5. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni kwa sababu ya ile kitu yetu,the more you have partners the more inachakaa and less chances of finding someone who will be interested na hio bidhaa...so we always pray tunayempata ndio huyo atayeclose deal!!!:redfaces::redfaces:
   
 6. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  the more inavyochakaa, the more kama njemba zipo nyingi!
  oraiti, kumbe bora ichakae kweye permanent residence au sio Pauline?
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  With all this Chiniese products na cosmetic surgeries bado inachakaa???? I doubt it. Lakini what I think kinachochakaa zaidi ni heshima, na status katika Jamii.
   
 8. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Asante dada Pauline nimekuelewa! Lakini sidhani kama ni wote wenye mtizamo huo.
   
 9. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wapo wengi sana wa dizaini hii hapa hata hamjafahamiana fresh anataka NDOA!!
  Lakini na sisi wanaume inatakiwa 2siwachezee 2 lakini kutangaza ndoa......!!!
  Commitment kama hiyo inabidi u THINK IN 3 DIMENSIONS ucje ukajitia kitanzi!!
   
 10. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ndo hofu yangu injinia, Ukiona mtu anataka ufanye jambo fulani kwa haraka inabidi uwe mwangalifu sana! bila hivo utakayokuja kuyasikia baada ya kufunga pingu za maisha utatamani ardhi ipasuke uingie usionekane tena.

  Kumbuka ndoa ya Mkristo ni moja tu, Golden chance never come twice!
   
 11. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  cosmetic surgeries wanaoaford ni macelebrity tu,typical mdada wa kitanzania sidhani km hili lipo kichwani mwake...hizo chinese products mie sijui km zipo zinazosaidia ni vyema tukaelimishana hapa LOLS!

  i just think heshima na status zinachakaa lkn haya ni matokeo tu,na sio causes....ile kitu ikiwa imechakaa noone will be interested kukuoa and as a result heshima inapungua na hivyo kukufanya kuwa desperate!(its the other way of putting it...:redfaces::redfaces::party:
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nimesikia Stories kwa wale ambao huwa ni wagumu kukubali ndoa mara nyingi kuna mabinti wachache (I mean wachache sio wengi) huwa wanawatrap kwa kubeba mimba ili mwisho wa siku mtu hakose cha kufanya bali kuoa
   
 13. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Mwe! :pop2:
   
 14. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  lucky you kama ulionwa kabla hujawa desperate!:A S-rap:
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mpaka hiyo kitu ichakae to that extent basi shughuli lazima itakuwa ilikuwa ni ya hatari sana.... lakini as far as I know the thing being elastic after some time itarudi katika hali ambayo sio mbaya... pia nimesikia of some traditional means za kudeal na hiyo issue although sina uhakika na ufanyaji wake kazi
   
 16. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lakini umetoa fundisho jinsi ya KUIBANA au inachakaa kivp hapo??!!!:A S-confused1:

   
 17. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :hungry:
   
 18. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha hasira ni swali 2 Mama BIG!!!

   
 19. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahahaa sio wote wenye acess na internet... i just assume lile somo litakuwa limewafikia wanawake wachache saaana kinyume na ambavyo ningependa...so kuna uwezekano kabisaaa kwa bahati mbaya wanawake wengine wakakosa lile darasa na kwa bahati mbaya nanihii zao zikachakaa kwa kutokujua!:party:
   
 20. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi huko kuchakaa zinachakaa vipi??!!:A S-confused1:

   
Loading...