Kwanini ‘ Wachagga ‘ wanaosafirisha Maiti kwenda Kwao Moshi Usiku huwa wanatekwa ‘ Kizembe ‘ sana Korogwe - Mombo?

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,556
Points
2,000

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,556 2,000
Yaani nyie Mashemeji zangu Wachagga pamoja na Ujanja wenu wote lakini mkiwa mnafika tu maeneo ya Korogwe huwa ‘ mnatekwa ‘ Kirahisi mno hasa pale mkiwa mnasafirisha Maiti kwenda Kuzika Kwenu hadi mnatia Huruma kwani huwa ‘ mnaparuriwa / mnakombwa ‘ kila Kitu na wengi wenu mnasafiri na Boksa tu hadi Kijijini Kwenu.

Kwani ni lazima muwe mnasafirisha Maiti zenu hizo Usiku nyie Shemeji zangu? Na hii tabia yenu ya Kupenda Kupaki pale Chalinze na Kunywa Pombe ndiyo huwa inawaponzeni kabisa hadi mnawapa urahisi ‘ Watekaji ‘ wenu huko njiani kuwafundisheni Adabu kisha mkirejea Dar es Salaam mnaanza tena upya.

Halafu mlivyokatika Mishipa ya Aibu yaani mkipaki pale Chalinze mnakunywa ‘ Mipombe ‘ yenu huku Maiti ikiwa tu ndani ya Gari inawasubirini nyie tu na hata mkiingia ndani ya Magari yenu hayo bado tena mnaanza Kuipigia Kelele na Pombe zenu hizo zilizowaingia vyema Vichwani mwenu na wengine hata mkiitapikia vile vile. Watekaji huwa wanawapatieni kweli kweli ‘ Mashemeji ‘ zangu nyie.

Kwani mkiianza safari Asubuhi hamfiki Moshi haraka hadi muwe mnalazimisha Kusafiri Usiku kwa Usiku tu? Na mnachonishangaza ‘ Mashemeji ‘ zangu nyie pale mkisimamishwa tu na ‘ Watekaji ‘ wenu kwa jinsi mlivyo Waoga wenyewe huwa mnaanza Kuwakabidhi Vitu vyenu vya Thamani japo wengine huwa mnameza Mabunda yenu ya Fedha na mkifika Moshi huwa mnayatoa kwa njia za ‘ Kiujasiri ‘ zaidi na kiasi cha Kupelekea hadi Noti zingine kuonekana zimechakaa na zinatoa harufu siyo Rafiki kwa Mwanadamu.

Alamsiki Mashemeji zangu Wachagga.
 
tembajr

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Messages
567
Points
1,000

tembajr

JF-Expert Member
Joined May 27, 2016
567 1,000
Kwani ni wachaga tu ndio husafirisha ndugu zao kwenda kuzika? Alafu chalinze ipi uijuayo ww maana mi najua wanapitia bagamoyo labda kama ni kutoka moro,
pili kila kabila lina tamaduni zake kimazishi kwa wachaga kwao maiti inatakiwa ifike asubuhi ya siku husika ya mazishi ndio maana wanasimama maeneo mengi kupoteza muda ikiwemo michungwani korogwe mombo na kama wakiwahi sana husimama himo pale hadi saa alfajiri.
kisha ndipo humalizia safari lengo lao ni kuingia muda rafiki na mazishi pia tamaduni kwa kawaida kabla ya mazishi lazima kuwe na ibada sasa utoke asubuhi uingie moshi jioni utazikaje sasa apo bado ibada tayari giza wakizika usiku si utakuja leta uzi mwingine wa kipuuzi kuhoji huo upuuzi??
NB. jaribu kumuuliza vizuri mkeo akupe maelezo ya kutosha inaonekana huna pumzi ya kwenda sambamba na mchaga pole sana mkuu..
 
Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
2,645
Points
2,000

Kambaku

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
2,645 2,000
Hili kima linajaribu kweli kurudi ila kila sredi inakuwa ugoro kuliko ya mwanzo! We jamaa kafanye kazi ingine tu huku JF kumeshakushinda. Kubali tu usilazimishe
 
003

New Member
Joined
Oct 12, 2019
Messages
2
Points
20

003

New Member
Joined Oct 12, 2019
2 20
Yaani nyie Mashemeji zangu Wachagga pamoja na Ujanja wenu wote lakini mkiwa mnafika tu maeneo ya Korogwe huwa ‘ mnatekwa ‘ Kirahisi mno hasa pale mkiwa mnasafirisha Maiti kwenda Kuzika Kwenu hadi mnatia Huruma kwani huwa ‘ mnaparuriwa / mnakombwa ‘ kila Kitu na wengi wenu mnasafiri na Boksa tu hadi Kijijini Kwenu.

Kwani ni lazima muwe mnasafirisha Maiti zenu hizo Usiku nyie Shemeji zangu? Na hii tabia yenu ya Kupenda Kupaki pale Chalinze na Kunywa Pombe ndiyo huwa inawaponzeni kabisa hadi mnawapa urahisi ‘ Watekaji ‘ wenu huko njiani kuwafundisheni Adabu kisha mkirejea Dar es Salaam mnaanza tena upya.

Halafu mlivyokatika Mishipa ya Aibu yaani mkipaki pale Chalinze mnakunywa ‘ Mipombe ‘ yenu huku Maiti ikiwa tu ndani ya Gari inawasubirini nyie tu na hata mkiingia ndani ya Magari yenu hayo bado tena mnaanza Kuipigia Kelele na Pombe zenu hizo zilizowaingia vyema Vichwani mwenu na wengine hata mkiitapikia vile vile. Watekaji huwa wanawapatieni kweli kweli ‘ Mashemeji ‘ zangu nyie.

Kwani mkiianza safari Asubuhi hamfiki Moshi haraka hadi muwe mnalazimisha Kusafiri Usiku kwa Usiku tu? Na mnachonishangaza ‘ Mashemeji ‘ zangu nyie pale mkisimamishwa tu na ‘ Watekaji ‘ wenu kwa jinsi mlivyo Waoga wenyewe huwa mnaanza Kuwakabidhi Vitu vyenu vya Thamani japo wengine huwa mnameza Mabunda yenu ya Fedha na mkifika Moshi huwa mnayatoa kwa njia za ‘ Kiujasiri ‘ zaidi na kiasi cha Kupelekea hadi Noti zingine kuonekana zimechakaa na zinatoa harufu siyo Rafiki kwa Mwanadamu.

Alamsiki Mashemeji zangu Wachagga.
mmmh
 
Forum statistics

Threads 1,344,253
Members 515,354
Posts 32,812,759
Top