Hukupaswa kujibu kitu ambacho alipaswa kujibu aliyenukuliwa (quoted) ndiyo maana unakuja na majibu yasioelewekaUmemjibu yeye ndio ila mimi nimekazia point!
Perception uliyonayo ni wrong!
Hawa watu kama wanazungumzia origins zao almradi hawajamtukana yeyote usiwa-criminalize,waache wazungumzie ancestors zao!
Wewe unaamini makabila na origins za watu ni wrong,unaona origin ya "Uswahili" ulionao sasa ni sahihi,hakuna tatizo!
Bado Uswahili ni kabila la watu,wewe ulitokea pa kutokea sasa una claim Mswahili unaoringia!
Pia mimi kutokukuelewa ni sawa,sio lazima kila mtu aelewe mwenzake anachomaanisha,ndio maana tukawepo na sisi tusiokua na akili kama nyie!
Haya tueleweshe mwenye akili,wajinga tunakusikiliza mzee baba!