Kwanini Wachaga, Wahaya na Wanyakyusa ndio makabila yenye nguvu kielimu na uchumi Tanzania?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,410
Natumai hamjambo Wanabodi.

Wakuu nimekua nikijiuliza sana juu ya haya makabila ya Wachaga, Wanyakyusa na Wahaya, kwa nini yapo mbele zaidi kielimu na kiuchumi kuliko makabila yote Tanzania?

Nimeamua kushare hapa jambo hili ili wajuvi watupe jawabu ili makabila mengine tujifunze mbinu zinazowafanya watu wa makabila haya kuwa top kielimu na kiuchumi.
 
natumai hamjambo wanabodi.

wakuu nimekua nikijiuliza sana juu ya haya makabila ya chaga, nyakyusa na haya, kwa nini yapo mbele zaidi kielimu na kiuchumi kuliko makabila yote tanzania?

nimeamua kushare hapa jambo hili ili wajuvi watupe jawabu ili makabila mengine tujifunze mbinu zinazowafanya watu wa makabila haya kuwa top kielimu na kiuchumi.
Endelea kujiaminisha hivyo
 
Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu nimekua nikijiuliza sana juu ya haya makabila ya chaga, nyakyusa na haya, kwa nini yapo mbele zaidi kielimu na kiuchumi kuliko makabila yote tanzania?

Nimeamua kushare hapa jambo hili ili wajuvi watupe jawabu ili makabila mengine tujifunze mbinu zinazowafanya watu wa makabila haya kuwa top kielimu na kiuchumi.
Shule za msingi na secondary ziliwahishwa sana kufika kata hadi kitongoji kila kijiji pia
 
Sehemu walizopita wakoloni(Ulaya) waliacha shule ambayo ndo chachu ya maendeleo ikichanganywa na wahusika kukubali badilika . Pia bila kusahau ni watu wanaopenda sana kwao hivyo hata akipata nje na nyumban basi hupakumbuka kwao.

Ila sehem hizi zingine utakuta hawakupitiwa na mkoloni yotote au aliingia mwaarabu ambae hakuweka kipaumbele cha elimu zaidi ya dini tuu (madrasa).

Ila yapo makabila mengine kama Wapare ambao asilimia ya watu wengi hutaja tuu kilimanjaro wakiamini niyawachaga ila wako wapare nao ambao hawako nyuma hasa wapare wa juu mana wako wapare wa chini hawa kidogo siwatofautishi na wasambaa
 
Back
Top Bottom