Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,353
Habari wadau wa JF,

Nimekuwa nikifanya utafiti mdogo wa wanaume wengi wanaojihusisha na ubunifu wa mavazi duniani kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja lakini nikashindwa kupata majibu yaliyo sahihi.

Nimeleta kwenu Great thinkers nikijua nitapata majibu sahihi kwasababu humu jamvini kuna watu mbalimbali wenye uelewa tofauti na unaozidiana.

Ukiangalia kwa Ulaya limekuwa jambo la kawaida kwa hawa designers hasa ma-CEO kushiriki mapenzi ya jinsia moja,mfano:

images

1. Tom Ford

19vers650_1a.jpg

2. Gianni Versace

o-GIORGIO-ARMANI-ROMA-facebook.jpg

3. Giorgio Armani
BVHGFHFGYU.jpg

4. Marc Jacobs (Louis Vuitton)

D&G.jpg

attachment.php

5. Dolce & Gabbana

Bergdorf Goodman Celebrates 111th Anniversary zoUfN-tywDZx.jpg

Michael Kors akiwa na partner wake Lance Le Pere.​

Hawa na wengine ni wale baadhi ambao wamejitangaza kushiriki mapenzi ya jinsia moja na dunia inalitambua hilo.

Hata kwa Tanzania ukifuatilia kwa makini wabunifu wa kiume wengi washaingia kwenye mkumbo wa kuhusisishwa na hayo mapenzi,wapo wengi nisingependa kuwataja maana hakuna uthibitisho kamili kama wanacheza hako kamchezo.

Soma hapa;

Najua kuna wengi wangependa kujua uhusiano wa ubunifu wa mitindo na ushoga,kwa hiyo wanajamvi naomba tusaidiane kueleweshana.

============

Aisee nimeona video ya rio the stylst instagram akikata mauno uchi hata mimi sifui dafu kama siwezi kabisa
aiseee ni,estaajabu mchana wa leo.

Lakini najiuliza why s/he did that akarekodiwa kabisa.

Ila la mwisho kwa nini wanamitindo wakiume wengi ni magays?
Japo pia wako wa kike malesbo ila ya leo imenipa tafakuri kubwa.

Just nenda insta kwenye page ya usipojipanganitakupanga ujione maajabu ya dunia ya Tanzania

Pamo

Sina uhakika sana kama wengi ni mashoga kuliko wasio mashoga kwa sababu sina takwimu zinazothibitisha upande mmoja au mwingine lakini kuna ukweli kuwa kuna idadi kubwa ya wanamitindo wakubwa na wenye majina hata huko Ulaya na Marekani walio na mwelekeo wa hivyo.

Michael Kors ni shoga. Marc Jacobs ni shoga. Alexander McQueen alikuwa shoga. Tom Ford ni shoga. Dolce & Gabbana ni mashoga. Valentino ni shoga. Yves Saint Laurent ni shoga. Gianni Versace alikuwa shoga. Cristobal Balenciaga alikuwa shoga. Na kuna uwezekano wapo na wengine wengi tu.

Sasa mnaopenda designer products kama mnazo za hao jamaa (au hata wengine) sijui mtazitupa baada ya kugundua kuwa hao wote ni mashoga au mtajishaua na kujifanya mtazitupa kama wale waliojidai watazitupa iPhones na iPads zao kisa CEO wa Apple ni shoga?

Bottom line, mashoga wapo kwenye kila nyanja, tasnia, na sekta!

Mkuu majority ya fashion designers ni mashoga. Ukiacha hao uliowataja wengine ni Giorgio Armani, Pierre Cardin, Christian Dior, John Galliano, Jean Paul Gaultier, Karl Lagerfeld, Christian Louboutin, Isaac Mizrahi, Alexander Wang wengine. Fashion designers wachache ambao sio mashoga ni Roberto Cavalli, Hayati Oscar De La Renta, Tommy Hillfiger, Calvin Klein, Ralph Lauren na Christian Lacroix.
 
Wanafanya kazi nzuri ya kudesign nguo ,kupamba vizuri.

Kinachonipa shida ni jinsi wanavyokuwa kama wanawake ukianzia jinsi ya kuongea, wanavyoweka pozi totally women like.

Sijui ndo part of the job description au ....ndo upunga unawanyemelea kimtindo. Yawezekana wakawa straight.....ila hio mikogo wanayoweka inanifanya niwashangae

Yaani ukiwaona wanavyotupa mikono , kulegeza sauti , kulembua macho.

Nilidhani hawa jamaa wapo tu huko nchi za magharibi...
Kumbe hata hapa tz wapo .

Sijaona kwa upande wa mafundi wetu wa nguo au wapaka rangi wale huwa wanazunguka mitaani.

Kuna wale wabunifu wa mitindo baadhi yao wanaowadiazainia maceleb/mastaa wa bongo.
Watizame vizuri utajionea hiki nnachozungumzia.

Nawasilisha
 
Mhh,mada nzito.

Ila mie naona kama sio mashoga ila tabia ya kukaa na wanawake katika muda wako mwingi wa maisha na katika kundi kubwa la madada basi kuna vitu uta adapt tu.

Ni sawa na mwanamke kuwa katika kundi la wanaume muda mwingi wa maisha yake basi anakuwa kama jike dume vile hata mtu kulitamani hutaki.Ila sio kwamba ni msagaji.

Na nido hivyo hivyo kwa ma Designers wa kiume,ni kwamba sio kwamba ni mashoga ila ukaaji wao na mabinti muda mrefu ndio tatizo linalofanya wabadilike bila wao kujua,maana wengine inabidi wawafundishe hadi pozi za kusimama,kukaa,kulala nk.Sasa hapo unategema kweli hali itakuwa kama ya mwanamme haswa?

Ila sitaki kuamini kwamba ni mashoga ila ni hali ya mabadiliko ya kuwa na jamii fulani kwa muda mrefu wa maisha yako.
 
Aisee nimeona video ya rio the stylst instagram akikata mauno uchi hata mimi sifui dafu kama siwezi kabisa
aiseee ni,estaajabu mchana wa leo.

Lakini najiuliza why s/he did that akarekodiwa kabisa.

Ila la mwisho kwa nini wanamitindo wakiume wengi ni magays?
Japo pia wako wa kike malesbo ila ya leo imenipa tafakuri kubwa.

Just nenda insta kwenye page ya usipojipanganitakupanga ujione maajabu ya dunia ya Tanzania

Pamo
 
Sina uhakika sana kama wengi ni mashoga kuliko wasio mashoga kwa sababu sina takwimu zinazothibitisha upande mmoja au mwingine lakini kuna ukweli kuwa kuna idadi kubwa ya wanamitindo wakubwa na wenye majina hata huko Ulaya na Marekani walio na mwelekeo wa hivyo.

Michael Kors ni shoga. Marc Jacobs ni shoga. Alexander McQueen alikuwa shoga. Tom Ford ni shoga. Dolce & Gabbana ni mashoga. Valentino ni shoga. Yves Saint Laurent ni shoga. Gianni Versace alikuwa shoga. Cristobal Balenciaga alikuwa shoga. Na kuna uwezekano wapo na wengine wengi tu.

Sasa mnaopenda designer products kama mnazo za hao jamaa (au hata wengine) sijui mtazitupa baada ya kugundua kuwa hao wote ni mashoga au mtajishaua na kujifanya mtazitupa kama wale waliojidai watazitupa iPhones na iPads zao kisa CEO wa Apple ni shoga?

Bottom line, mashoga wapo kwenye kila nyanja, tasnia, na sekta!
 
Ila kwenye mambo ya mitindo ndo wako wazi sijui wanapenda ukike mi huwa sipendi swaga zao za kike
 
Nyani Ngabu,

Aisew ila tasnia hii imetekwa na mashoga

Hapa bongo niambie mwanamitindo wa kiume ambaye si shoga wapo ila sina uhakika kama wanafanya kazi waliyotumwa duniani
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom