Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Naomba kuuliza hii ni kwanini hata miondoko ya jukwaani ni miondoko pendwa, ina maana mtu model mwanaume akitembea casual inatia dosari ulimwendwe? Naouliza tu ila najaribu kugoogle hapa kwa maelezo zaidi!
 
kwa wanaume mara nyingi ni casual tu mbona
sasa kuna mambo mawil
kuna models na desgners

desgners wanakuaga mashoga na wanaliwa na models wao chezea six pac
 
aisee nimeona video ya rio the stylst instagram akikata mauno uchi hata mimi sifui dafu kama siwezi kabisa
aiseee ni,estaajabu mchana wa leo
lakini najiuliza why s/he did that akarekodiwa kabisa

ila la mwisho kwa nini wanamitindo wakiume wengi ni magays??????
japo pia wako wa kike malesbo ila ya leo imenipa tafakuri kubwa

just nenda insta kwenye page ya usipojipanganitakupanga ujione maajabu ya dunia ya tanzania

pamo

Naomba URl plz niichek
 
Kwa hiyo unamaanisha kwamba hao models wao si mashoga kwa sababu wanafira na siyo kufirwa?

Manake huwa sielewi kwa nini mwanaume anayemfira mwanaume mwenzie yeye asiwe shoga!

hapo ndo mwenyewe tafsiri yake imenishinda
 
Kwa hiyo unamaanisha kwamba hao models wao si mashoga kwa sababu wanafira na siyo kufirwa?

Manake huwa sielewi kwa nini mwanaume anayemfira mwanaume mwenzie yeye asiwe shoga!

kwa hiyo hata wanaowananii wake zao au wachumba sehemu ambayo si sahihi ni mashoga na hao??
 
Back
Top Bottom