Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

yaan acha tu kuna dogo kamaliza form 4 last year kajiingiza kwenye mamb ya mitindo halaf alikua na tabia za kike tangu sekondar
 
yaan acha tu kuna dogo kamaliza form 4 last year kajiingiza kwenye mamb ya mitindo halaf alikua na tabia za kike tangu sekondar ila sahv nimeanza kumuona na martin kadinda baada ya 2 years sijui itakuaje
 
Kwani martin ana shida gani?
 
Habari zenyu wana jamvii
Nimeleta uzi huu baada ya kuona tunawapoteza vijana wengi sana ambao mwanzo wao hua ni Models lakin wengi wao huishia kua mashoga wenye viwango...Tafakari na tuambizane hii inasababishwa na nini??
Ahsant...nawasilisha!
 
Upande wangu mwanaume kujishebedua mbele za watu kisa kuonyesha mavazi haijakaa sawa hii tuwaaachie kina Dada aisee.
 
images

Sasa kama huyu uategemea nini mwisho wa siku.
 
We unategemea mtu anayepaka poda na kulegeza legeza mikono tu kujipitisha mbele ya watu then analipwa atakuwa tayari kufanya kazi za shuruba wakati wapakataji wapo?
 
Habari zenyu wana jamvii
Nimeleta uzi huu baada ya kuona tunawapoteza vijana wengi sana ambao mwanzo wao hua ni Models lakin wengi wao huishia kua mashoga wenye viwango...Tafakari na tuambizane hii inasababishwa na nini??
Ahsant...nawasilisha!
Wenyewe wanajiita wasafi...walamba lips...haha
 
Back
Top Bottom