Fatma-Zehra
Senior Member
- Oct 18, 2020
- 192
- 1,062
Bunge limeanza asubuhi hii, hakuna mwenye barakoa. Je, wanamdharau Rais Samia au wanaiona barakoa kama sanaa?
Yaache yafe tu kwanza hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kudemka tu.Bunge limeanza asubuhi hii. Hakuna mwenye barakoa. Je wanamdharau President Samia? Au wanaiona barakoa kama sanaa?
Si wangekuwa washaisha sasa toka walipoanza kuacha kuvaa?Waache Wapukutike
Nyie mnajua kuvaa barakoa tu wala hamjui matumizi sahihi ya barakoa kitu ambacho kinaweza kuwa sababu kubwa ya maambukizi.Mdharau mwiba mguu huwota tende,wacha wasivae uwone watakavyopukutika, india sasa hakuna hata kuni za kuchomana wanafanya mass grevu
Mbona Zezeta lao lilikataa kunywa uji pale MzenaSi wangekuwa washaisha sasa toka walipoanza kuacha kuvaa?
Nasema hivi kama watapukutika kwa kutovaa barakoa basi wangekuwa washaisha wabunge wote mule na sio wabunge tu hata huyo Mama Samia tungekuwa tushamzika siku nyingi kama Maalim seifu, maana hizo barakoa toka aanze kuvaa hata mwezi haufiki.Mbona Zezeta lao lilikataa kunywa uji pale Mzena
Sijui kwanini watu mnapenda kumuhusisha Jiwe, nakumbuka kipindi kile cha level seat watu walikuwa wanapanda na kujificha chini wasionekane na traffic na wengi hawakuwa na barakoa, huku mtaani hakukuwa na tofauti yeyote watu walijiachia tu kama kawaida mpaka wengine hawakuona maana ya kufunga shule maana hao wanafunzi huku mtaani walijiachia tu na mimba zikapatikana za kutosha. Sasa watu wa aina hiyo ndio inakuwaje apewe lawama Magufuli kuonekana ndio kawafanya wawe hivyo?Bunge la wabunge walioingizwa bungeni kwa jitihada za mwendazake bila kuchaguliwa na wananchi hivyo lazima wamuenzi boss wao.
Ninyi na utaalamu wenu wa kujifukiza Mizizi na Viungo Vya pilau na Mbinu zenu za Kichawi mlizokuwa mkipromoti Tume ya Covid imemwambia Mama kuwa hazifaiNasema hivi kama watapukutika kwa kutovaa barakoa basi wangekuwa washaisha wabunge wote mule na sio wabunge tu hata huyo Mama Samia tungekuwa tushamzika siku nyingi kama Maalim seifu, maana hizo barakoa toka aanze kuvaa hata mwezi haufiki.
Mkuu kuhusu vifo sidhani kama tumefikia nchi za wenzetu huko ambako tulisikia hadi sehemu za kuhifadhi maiti zilijaa na hao hawakuwa wakifanya ujinga kama sisi, sasa sijajua huo wingi unaousema ni wingi wa kiasi gani uliyosababishwa na ujinga wetu na ambao haujawafikia wingi usiosababishwa na ujinga maana wao walikuwa wakitumia sayansi?Ninyi na utaalamu wenu wa kujifukiza Mizizi na Viungo Vya pilau na Mbinu zenu za Kichawi mlizokuwa mkipromoti Tume ya Covid imemwambia Mama kuwa hazifai
Ubishi na Ujinga wenu umesababisha Wazee wetu wafe kwa wingi mimi mwenyewe nimepoteza karibu 12 ndani ya muda mfupi
Si kwa sababu huvihesabu ngoja huu utaratibu wa Mama wa Kupima na kuweka Data za wanaokufa kwa corona uanze uone, tatizo wanaokufa sana ni kundi la watu wazima wenye maradhiMkuu kuhusu vifo sidhani kama tumefikia nchi za wenzetu
Yani sehemu za kuhifadhi maiti kujaa kama wenzetu ni hadi uhesabu ndio uone hizo sehemu zimejaa? yani kuwa na uhitaji mkubwa wa mashine za kusaidia kupumua kama tunavyoona kwa wenzetu ni hadi uhesabu?Si kwa sababu huvihesabu ngoja huu utaratibu wa Mama wa Kupima na kuweka Data za wanaokufa kwa corona uanze uone, tatizo wanaokufa sana ni kundi la watu wazima wenye maradhi