Kwanini Wabobezi wa siasa za CCM na wasomi wa falsafa Dkt. Bashiru Ally na Dkt. Wilson Mukama wamesahaulika haraka sana?

Bashiru huyu huyu aliyeenda kumwambia Samia “magufuri amesema ujiuzuru hawezi kuendelea kufanya kazi na wewe” kwenye nafasi ya makamu wa rais ili yeye na genge lake (majaliwa, polepole na bashiru) wachukue nafasi za juu baada ya kusikia msukuma alikufa muda mrefu wakaendelea kutwambia hajafa ili wapindue meza!?!?

hawa hawafai wasahaulike tu na siasa zao za tamaa na ulafi wa madaraka.
wakisaahaulika wewe binafsi huna unachofaidi
 
Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.

Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.

Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!

Dominica Njema!
Kwa akili yako walisaidia nini nchi na PhD zao?
 
Analysis yako siyo sahihi.
1. Kinana amesahaulika kidogo, anasikia kwa kuwa na vi scandal vya meno ya ndovu, kukwaruzana na Magufuli...... hasa hi ilimfanya awe live sana.
2. Mukama alikuwa kama sanamu, sijui alifanya nini duniani ya CCM
3. Makamba ni maneno maneno mengi.... too talkative kiasi kwamba he raises the attention of those interested in politics and the mass at large. Pli uwepo wa january serikalini unamfanya akumbukwe sana.
Mbona hujasema kitu kuhusu dr wako bashiru?!! Kwangu mimi huyu ni mfano hai wa wasomi wasio na maana katika taifa hili...
 
Mnaosema Wilson Mkama hakufanya kitu ccm hamna kumbukumbu nzuri. Mkama aliingia kipindi ccm iko hoi na ufisadi, Mkama akawambia majizi wote ndani ya chama wajivue magamba. Wakaona mmh, huyu atakiumiza chama hakuna msafi tutakwisha.
 
unatiwa na kijiti kirefu

bashiru kaingia ccm ikiwa inaingiza 2bn kwa mwaka

leo inaingiza 30bn kwa mwaka kama initiative zake

hilo hauwezi kuambiwa, maana mnapenda wanachekesha na kuongea sana jukwaani
30b za uporaji. Eti Channel ten nayo imekuwa mali ya CCM ?

Kudhulumu nako ni utendaji mzuri CCM
 
Not interested in the affairs of this moribund party oppressing the innocent people of this country as a strategy to enable it survive in power. Very useless post.
 
Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.

Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.

Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!

Dominica Njema!
Sisi wengine tuliyaona zamani,

Mbona wewe umewakumbuka kwa Niaba ya Wanaccm wenzako
 
Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.

Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.

Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!

Dominica Njema!
Uongo na ujinga uwa havidumu...

''You can fool some people sometimes but you can't fool all the people all the time''...Peter Tosh
 
Back
Top Bottom