Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
Nimekuwa nikijiuliza swali hili watanzania tumekuwa na desturi pale watanzania wengi wanapopata maafa huwa kuna desturi ya watu kuchangiana chochote kile ulichonachoo.
Nimekuwa nikishuhudia waathirika kama mafuriko na mengineyo watu wamekuwa wakijitolea kuwasaidia watanzania wenzetu .
Lakini kuna kitu nimejiuliza ni kwanini watu wanaothirika na bomoa bomoa wengine wakilala nje nyumba zao wengine wakitoa machozi nyumba zao kubomolewa hivi ni kwanini watu huwa hawajitokezi kuwachangia kama waathirika wengine wale ikiwa hawa nao ni watanzania wenzetu.