Kwanini waandishi na wachambuzi wa michezo wanamuogopa Haji Manara?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,182
42,001
Habari.

Hivi karibuni waandishi na wachambuzi wa soka wamekuwa wakimuogopa sana Haji Manara jambo ambalo nilikuwa naliona kwa mbali sana lakini kwa sasa limekuwa kubwa sana kiasi kwamba wachambuzi hawawezi tena kusema kwa uwazi madhaifu ya simba bila kupamba pamba na kupongeza kwanza kuogopa kukabiliwa vikali au kugombana na Haji Manara.

Nilishangazwa zaidi alipo waita taka taka waliogopa kukemea lakini bali ni wachache ndio walikuwa wana uwezo huo wachambuzi kama kina Shafii,Maulid Kitenge,Jemedari Saidi na Oscar Oscar ndio huwa hawamuogopi kumsema.

Yani nimeshangazwa sana zaidi wiki hii baada ya simba kutolewa hakuna anayethubutu kusema simba katolewa bali kila mmoja anatafuta kaurembo kake ... oohh kafa kiume,wamepambana, wamepigana, wengine wanasema hawajatolewa kifala ... hii yote ni kumuogopa Manara? maana ana uwezo wa kuzuia wasitangaze maudhui ya simba? Kwanini wachambuzi wanaogopa kusema simba amefungwa na kutolewa kwa uzembe wake?

Kwanini wanamuogopa sana Haji Manara?

1621934250148.png

Kwasababu Manara aneshawajua udhaifu wao.

Manara aneshakuwa mzoefu sana na anajua wapi pa kupiga na watu pa kuogopa na connection aliyonayo.

Mfano 1: Wakati wa sakata la Simba na Yanga hakuna mwenye akili timamu asiyejua waliovuruga ni Serikali kwa kushirikiana na TFF.

Ila Manara akawa anawashambulia Yanga na Wachambuzi kwasababu ndio watu anaowamudu.

Mfano 2: Wakati wa sakata lake na Kitenge, Manara yeye akawa anamchongea Maulid Kitenge kwa boss wake ( Diamond ) kwasababu ana ukaribu na Diamond. Kitenge akakaji tu kutiatia huruma na mwishowe kumalizana naye.

Inshort hali ya uchumi sasa hivi imekuwa ngumu wachambuzi wengi wanaepusha migogoro na kulinda vibarua vyao kwa nguvu zote ndio maana uhuru wao binafsi haupo.
 
Manara watu hawamwogopi ila wanacho hofia heshima yao na brand zao walizo zijenga kwenye jamii zinaweza kuharibika.

Manara anatabia kumshambulia mtu kwa vitu personal na si vya kimpira,sasa mtu kama Kitenge au Shaffih kwa heshima na brand wakizo kuwa nazo wanaogopa kumshambulia kwa vitu personal,anaweza akamshambulia kwa bahati mbaya au kwa hasira akaugusa ulemavu wake ,tayari ushajiharibia hadhi yako kwa jamii,manake tayari watu watamwita mnyanyasaji wa walemavu.

Kumbuka mtu kama Kitenge au Shaffih wana deal Star times,DSTV,Sportpesa (kampuni nyingine za kamari),Asas nk na bila kusahau Shaffih pale Clouds Fm ni mmoja wa mameneja ndio maana wana mpuuzia sababu wanajua ana njaa anatetea ugali wake kwa njia yoyote.
 
Kwasababu Manara aneshawajua udhaifu wao.

Manara aneshakuwa mzoefu sana na anajua wapi pa kupiga na watu pa kuogopa na connection aliyonayo.

Mfano 1: Wakati wa sakata la Simba na Yanga hakuna mwenye akili timamu asiyejua waliovuruga ni Serikali kwa kushirikiana na TFF.

Ila Manara akawa anawashambulia Yanga na Wachambuzi kwasababu ndio watu anaowamudu.

Mfano 2: Wakati wa sakata lake na Kitenge, Manara yeye akawa anamchongea Maulid Kitenge kwa boss wake ( Diamond ) kwasababu ana ukaribu na Diamond. Kitenge akakaji tu kutiatia huruma na mwishowe kumalizana naye.

Inshort hali ya uchumi sasa hivi imekuwa ngumu wachambuzi wengi wanaepusha migogoro na kulinda vibarua vyao kwa nguvu zote ndio maana uhuru wao binafsi haupo.
Kama Kitenge anaogopa ajira ya Wasafi hapo basi hana akili..yeye ni brand kubwa kwenye michezo,sio mfagiaji hapo wasafi hadi amuogope diamond kiasi hicho..yeye anamuingizia pesa na kumfukuza ni hasara tu.
 
Hawamuogopi, ispokuwa jamaa ni mlemavu , sasa wakimuwashia Moto kama tunavyowashiana kitaa daah inaonekana kama wanamnyanyapaa na Kwa vile yupo popular serikali chap Tu inawaandama , ili kuepusha lawama wanaamua Tu kumuachia uwanja atambe mwenyewe, Ila mwepesi Sana Yule ...ni vile tu Wana wanamstah
 
Manara watu hawamwogopi ila wanacho hofia heshima yao na brand zao walizo zijenga kwenye jamii zinaweza kuharibika.
Huyo Kitenge na mwenzake wana upendeleo wa waziwazi kwa timu flani ilihali wao ni watu wa media, hilo binafsi linanikera wanapaswa kuweka ushabikki na unazi wao pembenii
 
Mleta mada nimegundua Jambo moja we Ni mpinzanni wa Simba na Manara hata wakifanya vizuri.
Kwa kilichofanywa na Simba Ni kipofu tu ataacha kusema ukweli huu wa wazi kwamba Simba Ni Wanaume halisi si Tena wa hapahapa Kama Yanga na Namungo. Wao Ni next level
 
huyo kitenge na mwenzake wana upendeleo wa waziwazi kwa timu flani ilihali wao ni watu wa media, hilo binafsi linanikera wanapaswa kuweka ushabikki na unazi wao pembenii
Hamna upendeleo ila wanacho ongea hata huko dunia ya kwanza wana viongea,mf tu nakupa kulikuwa na tetesi Ozil aligombana na Unai Arsenal,Pogba na Mourinho,Etoo na Pep,Ronaldo na Morinho nk hivi vilitokea wachambuzi na vyombo vya habari vyote vikizungumzia hizi situation kwa muda tofauti.

Juzi hapa kulikuwa na tetesi Morrison analalamika kwa nini mechi za kimataifa huwa hapangwi,hili alilipoti Kitenge,Manara akamshambulia kwa mambo binafsi ambayo si ya kimchezo na hayana maana.

Sasa huko dunia ya Kwanza klabu kubwa zenye utajiri na historia kubwa watu wanadiscuss tetesi zao haijalishi za aina,sembuse nyinyi akina Mbonde na klabu zenu za dunia ya tatu.

Sakata la juzi ni la kikanuni na lipo wazi,sasa yeye katukana wachambuzi wote ni takataka na Shaffih kamjibu ila kwa busara ya hali ya juu na kajaribu kumkwepa hasi-muattack kwa mambo binafsi.

Watu kumwogopa hawa mwogopi hata kidogo,wanahofia kumwattack kwa vitu personal sababu ukiwa na HASIRA hata ile busara yako inafunikwa,mwisho wa siku unaweza ukatoa neno ambalo likagusa ulemavu wake baadae ukaitwa MNYANYASAJI wa walemavu.
 
Kwasababu Manara aneshawajua udhaifu wao.

Manara aneshakuwa mzoefu sana na anajua wapi pa kupiga na watu pa kuogopa na connection aliyonayo.

Mfano 1: Wakati wa sakata la Simba na Yanga hakuna mwenye akili timamu asiyejua waliovuruga ni Serikali kwa kushirikiana na TFF.

Ila Manara akawa anawashambulia Yanga na Wachambuzi kwasababu ndio watu anaowamudu.

Mfano 2: Wakati wa sakata lake na Kitenge, Manara yeye akawa anamchongea Maulid Kitenge kwa boss wake ( Diamond ) kwasababu ana ukaribu na Diamond. Kitenge akakaji tu kutiatia huruma na mwishowe kumalizana naye.

Inshort hali ya uchumi sasa hivi imekuwa ngumu wachambuzi wengi wanaepusha migogoro na kulinda vibarua vyao kwa nguvu zote ndio maana uhuru wao binafsi haupo.
Kuhusu Kitenge sijui kumuogopa Manara au Diamond sio kweli Kitenge mtoto wa mjini yule mwenyewe Manara baba yake ndiye aliyeingilia katika yaishe ila Kitenge hawezi kumuogopa Manara.
 
Hamna upendeleo ila wanacho ongea hata huko dunia ya kwanza wana viongea,mf tu nakupa kulikuwa na tetesi Ozil aligombana na Unai Arsenal,Pogba na Mourinho,Etoo na Pep,Ronaldo na Morinho nk hivi vilitokea wachambuzi na vyombo vya habari vyote vikizungumzia hizi situation kwa muda tofauti.

Juzi hapa kulikuwa na tetesi Morrison analalamika kwa nini mechi za kimataifa huwa hapangwi,hili alilipoti Kitenge,Manara akamshambulia kwa mambo binafsi ambayo si ya kimchezo na hayana maana.

Sasa huko dunia ya Kwanza klabu kubwa zenye utajiri na historia kubwa watu wanadiscuss tetesi zao haijalishi za aina,sembuse nyinyi akina Mbonde na klabu zenu za dunia ya tatu.

Sakata la juzi ni la kikanuni na lipo wazi,sasa yeye katukana wachambuzi wote ni takataka na Shaffih kamjibu ila kwa busara ya hali ya juu na kajaribu kumkwepa hasi-muattack kwa mambo binafsi.

Watu kumwogopa hawa mwogopi hata kidogo,wanahofia kumwattack kwa vitu personal sababu ukiwa na HASIRA hata ile busara yako inafunikwa,mwisho wa siku unaweza ukatoa neno ambalo likagusa ulemavu wake baadae ukaitwa MNYANYASAJI wa walemavu.
Thread closed! Haji Manara is a good for nothing country bumpkin. Yaani umuogope mtu ambaye hakulishi! Hakusaidii chochote! Mropokaji mmoja hivi!!

Watu wanampuuzia tu.
 
Back
Top Bottom