number41
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,048
- 1,462
Wahabeshi wangapi wamefia kwenye magari wakipita na wale wanaopona wanawekwa magerezani? Wakimbizi wa kirundi au Rwanda walishapewa kazi kama siyo kuwekwa makambini na misaada siyo ya tanzania bali ya UN. Hawa wakienda Israel wanaishi kuwa mitaani na kuwa omba omba.
Wewe umefika Israel kuona wakimbizi wanaoenda kule wanavyotunzwa? wana matunzo mazuri kulinganisha na hawa tunaowasweka lupango na wengine kuishia makambini. Naongea kwa kuwa shahidi kutokana na kazi yangu.
We nadhani umekurupuka tu wanaguswa sio kisa kisa ni muafrica kama thread inavyosema mataifa yote wanadeal na wakimbizi kwa kuwatimua ndicho nilichokua nakieleza mi jamaa angu amekaa huko miaka 3 safi kabs bila tabu ingawa ye ni mweusi
Sent from my iPhone using JamiiForums