Kwanini Waafrika tusiwekeze katika usalama wa bara letu na kubuni elimu yetu?

Marafiki wenyewe ndio wale waliouana mwaka 1994 kule nchini Rwanda? Upendo wa muafrika ndio zile vurugu za baada ya uchaguzi kule Kenya?
Sijasema urafiki ndani ya race. Nimesema urafiki nje ya race yetu. Tuna urafiki na european, chinese, indians, latinos. ....lakini wote wanatubagua. Tumeelekeza nguvu kubwa kupigana vita sisi kwa sisi na kushindwa kumuona adui
 
Sijakwambia uwabague wazungu. Nimekwambia ulinde masilahi yako kama wao wanavoyalinda yao. Wao wakikubagua kwa interest zao huongei ila wewe ukifanya the same thing unaambiwa mbaguzi.
Kuifanya afrika isonge mbele haina maana ndio tuanze kuwabagua wazungu. Hapana mkuu kwa maana kwa kufanya hivyo tutakuwa hatuna tofauti na wao walivyotufanya watumwa.
 
Kuifanya afrika isonge mbele haina maana ndio tuanze kuwabagua wazungu. Hapana mkuu kwa maana kwa kufanya hivyo tutakuwa hatuna tofauti na wao walivyotufanya watumwa.
Kwa hiyo unachosema ni kwamba tusi fight back. Si ndio. Tuendelee kuliwa kwa sababu tukipigana kupinga hiyo process tutakua tunawaiga.
Tuilinde afrika kama wazungu wanavoilinda ulaya. Na usione uchungu kulinda cha kwako
 
Hoja nzuri
Eti mkuu. Una nyumba yako na una familia. Alafu kuna maadui kila siku wanakuja wanapasua vioo, wanaiba, wanabaka mke wako na wanalawiti watoto wako. Alafu mtoto wako anakwambia baba, mbona hawa maadui wanatusumbua kwann tusipigane kuwatokomeza. Unamwambia mtoto waache. Ukiwapiga utakua kama wao.
Ndo jamaa anachotaka kuongea
 
Ipo siku tutapata viongozi wenye maono kama yako mtoa mada.Afrika hakuna viongozi wenye matamanio ya kuifanya Afrika yenye teknolojia ya hali ya juu.
North korea kanchi kadogo kenye watu wa aina moja wameweza kuunda siraha kali za nyuklia,sisi waafrika mchanganyiko wa race mbali mbali tumeshindwa kuwekeza hizo teknolojia.Afrika ina watu wenye akili sana ila hawajawa mobilized.Waafrika tunatia aibu, hatujui hata kuunda sindano rungu sembuse ya kuchomea binadamu, ni aibu sana ila basi.
 
Hata sasa wakiamua kujufunga minyororo na kuwachapa kama m'bwa wanaweza

Hivi umeshawahi kujiuliza hapo ulipo uko wapi?

Uko mahala ambapo hata kijiko cha chai huwezi kutengeneza halafu unaongelea silaha za kivita

Are you serious?
USimuulize are you serouse wewe pro European! Ungetoa wazo tu kuwa tungeanza kufanya namna ya kutengeneza bidhaa zetu zinazo kidhi mahitaji yetu bila kutegemea nchi yeyote ile America ama ulaya, hata uchina kisha tuje kwenye kujiimarisha kiusalama........
 
Back
Top Bottom