DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,976
- 3,127
Ki ukweli sikutarajia kama jambo ambalo kwa mtazamo wangu halikuwa ni la kulikuuza sana kiasi hiki, vyombo vya nje kama BBC wameripoti habari ya raisi mstaafu Kikwete kushangiliwa bungeni tena kwa kina na kwa kuichambua.
Tangu awamu ya tano kushika hatamu ya uongozi habari za namna hii zimekuwa zikilipotiwa tena kwa hali hasi kwa raisi wetu, vyombo vya nje kama BBBC, VOA, radio ujerumani CNN nk, kwa mfano issue ya Ney, Nape, Mello wa Jf nk.hapa si bure mkulu wetu cheza vizuri muziki huo wa mahusiano ya media na mataifa ya nje, wabane kwa akili sana bila kuwaonyeshea jeuri ndo mfumo wa dunia ulivyo.