Kwanini vyombo vya habari vinaripoti kuwa Israel yashambulia makundi ya Waislam na sio Wapalestina?

Mungu hapendi uonevu, dhulma, kuuwa watu wasio na hatia. Uislamu unakataza yote hayo n.k yasiyompendeza Mungu.


Hao Isis una ushahidi gani kama ni waislamu maana uislamu haujafundisha kuuwa wasio na hatia, tatizo lenu hamuelewi hata tuwape elimu vipi lakini bado hamuelewi, na msimamo wenu huohuo wa kuamini uislamu ni ugaidi.

Huko Palestina wako sahihi wanachokifanya,, maana ardhi wanayokalia mayahudi ni mali ya wapalestina wenyewe, israel ni wavamizi/wakimbizi tu. Tangu lini wayahudi, wazungu n.k wakawa na haki ya kujimegea ardhi kwenye bara/nchi ya watu na kuifanya iwe ndio makazi yao kuishi!!!! Mfano: east afrika wazungu wawalete mayahudi na kuwahamishia tanzania alafu wao ndio wawe na haki ya kuishi na kwendelea kumega ardhi ya watanzania, ni haki hiyo!!! Alafu nawe unaangalia tu, mnauliwa na kubomolewa nyumba zenu na hakuna any country inayoingilia kati ukatili huo wakati mwenye haki hapo ni mtanzania.

Uislamu ni Amani.
Kwanza Sio mayahudi, ni Wayahudi.

Umenichekesha uliposema ISIS sio waislam... hahahah, leo mnawakana.
Sasa kama sio waislam, mbona hamjawahi kuwakemea popote pale waache kutumia jina la Mungu wenu Alah kuua?

Hapo kwenye Uislam ni Amani pamenichekesha zaidi.
 
Back
Top Bottom