Kwanini vyombo vya habari vinaripoti kuwa Israel yashambulia makundi ya Waislam na sio Wapalestina?

Dozens of rockets were launched toward most of the cities and colonies in the central part and southern Palestine. Including Tel Aviv and Beersheeva
Hit ni ngapi?,, more than 1500 rockets,, yaliyofanikiwa ni 5,, na kuua 8 people israel attacked gaza mora than 500 times and more than 60 kills
 
Huu mgogoro upo kidini zaidi huwenda hao wapelestina wangekuwa wayahudi au waislam huenda wange pokeana kwa vizuri tu.
 
Kwenye kutete hakuitaji mahaba bali fact mkuu.wote wana haki hapo.
Kipindi wayahudi wanauliwa ulaya sehemu pekee walipokuwa hawateswi ni hizo nchi za kiarabu/Kiisilamu,

Hii ni picha ya wayahudi wakimbizi waliokimbia ujerumani kwenda palestina baada ya Vita kuu vya dunia,

PicsArt_05-13-02.53.08.jpg


Wapalestina waliishi pamoja na hao wakimbizi wa kiyahudi bila shida,

Then ikazuka Zionism movement huko uingereza na palestina kuja kupigwa na waingereza, na jambo moja ambalo wengi hawafahamu wayahudi walikuwa against na hii idea na walipigana na waingereza na mpaka leo kuna wayahudi wengi tu wapo against Israeli.
 
Kipindi wayahudi wanauliwa ulaya sehemu pekee walipokuwa hawateswi ni hizo nchi za kiarabu/Kiisilamu,

Hii ni picha ya wayahudi wakimbizi waliokimbia ujerumani kwenda palestina baada ya Vita kuu vya dunia,

View attachment 1783244

Wapalestina waliishi pamoja na hao wakimbizi wa kiyahudi bila shida,

Then ikazuka Zionism movement huko uingereza na palestina kuja kupigwa na waingereza, na jambo moja ambalo wengi hawafahamu wayahudi walikuwa against na hii idea na walipigana na waingereza na mpaka leo kuna wayahudi wengi tu wapo against Israeli.
So wataka sema kabla ya ww2 hakukuwa na Zionism?
 
Na waislaeli wa asili ya wapi? Blonde hair sio tatizo hata wakurdi hapo middle east wanazo mkuu huenda ndio tofaut ya waislaeli na waarabu mkuu pia kutokana na mchanganyiko alivyo tawanyika.hapo ni busara tu ndo inatakiwa vita lazima upande mmoja ukose tu.
Kama comment yangu ya juu Niliyo onyesha picha wayahudi hawajawahi kubaguliwa nchi za Kiisilamu, kwenye dola za Kiisilamu walipewa position kubwa nafkiri hadi uwaziri mkuu, hata walivyo kuja baada ya Vita vya dunia walipokelewa kwa mikono miwili.

Ni wazayuni (zionism) ndio walioleta vita pale na lengo lao wala sio Amani, hata wakiondoka palestina vitatafutwa tu vita vingine. Raisi wa sasa wa USA aliwahi kuwa quoted hata kama Israel isingekuwepo Middle East wangeitengeneza kilazima nchi kama ile,
 
So wataka sema kabla ya ww2 hakukuwa na Zionism?
Ipo lakini ilikuwa haina power na nchi,

Hawa jamaa kuna sheria kibao za kiyahudi wamevunja, Ikiwemo hio nchi, masheikh wa kiyahudi (rabbi) wengi wana criticize, ila wao wanaprepare wanachojua wao...

Kama unafuatilia conspiracy theory kama za Anti christ /massih dajjal unaweza pata point kadhaa.
 
Ipo lakini ilikuwa haina power na nchi,

Hawa jamaa kuna sheria kibao za kiyahudi wamevunja, Ikiwemo hio nchi, masheikh wa kiyahudi (rabbi) wengi wana criticize, ila wao wanaprepare wanachojua wao...

Kama unafuatilia conspiracy theory kama za Anti christ /massih dajjal unaweza pata point kadhaa.
Bro,,mvt ilianza mwanzoni mwa mika ya 1900,,na kila myahudi alilenga kurudi alipokuwa,, hadi mwaka 1912 zaid ya jews 75k walikuwa hapo,,na hao walikuwa wale waliokuwa nchi za uarabuni,, wa europe walikwamishwa na. World wars

Kwenye vurugu zote from zile za miaka ya 80, zile za 2000's zote zilianziswa na Palestine wenyewe,na mikataba yote ya amani walosign na jews wao ndo wa kwanza kuitengua,

Vurugu hizi zinazoendela ni baada ya hamas kufyatua makombora kwenda israel na unadhan watanyamaza ,,not this time
 
Habar wadau mimi toka juzi Baada ya Vyombo vya Habari Kuanza kuripot vita Baina na Izrael na Palestinian sijaona kabisa sehem hata Moja chombo chochote Kiki ripot kua Izrael imeshambulia wapalestina ila kila Chombo cha Habar kinacho Toa taarifa husema Izrael imeshambulia makund ya waislam bila hata kumkumbuka kua kina watoto wanakufa na kupoteza wazaz wao pia watoto hubaki bila wazazi kwa asilimia kubwa.

Swala lingine Leo nimejaribu kufatilia Baadhi ya akaunt za mitandao ya vyombo vya Habari kimoja wapo kikiwa BBC haki ya mungu nimeshangaa kuona Ripot inawatambua tu wanawake wa3 wa izrael walio uliwa pia habar nzima imeangazia Mabom yalio rushwa kutoka Palestina kwa wing Sana ukilinganisha na machafuko yalio fanywa na izrael.

Pia niwakumbushe waislam Kuna Aya niliiskia japo Sina uhakika nayo inasema ivi ikija kutokea siku wayahud wakawa na nguvu basi waislam tubaki tu kuamin mungu tuwe wachamungu na mambo yote tuyaache it means tuache kupigana na kufanya mambo yoyote Yale ya kidin tofaut na Iman yetu ili Tujipe Muda wa kusubir Nabii Isa atakapo Kuja kuisambaratisha Jerusalem.

So kwa Hali ilivyo Sasa na nguvu walizo nazo Hawa watu si Rahis sisi kuwashinda pia hamna atakae Saidia sababu kipindi wenyewe walikua bize kuakikisha watu waamin waislam ni Magaid na wauaji sisi tulikua Bize na mambo mengine so now hata wale wakristo saf na watu wasio waislam Lakin wenye roho za kibinadam hawawezi Sema chochote sababu wanajua Izrael I napiga waislam ambao ni Magaid na sio wapalestina watoto wazee wa mama mpaka mababa.

Angalia Leo kila chombo kina ripot waislam sababu wanajua wakisema waislam hamna atae panick sababu wanaamin kua Muislam ukimtetea kesho atakuja kujiripua.

Waislam Hii vita ni kubwa baada ya miaka io vita za mapanga kuisha wenzetu hawakuacha kuendelea kupambana na Leo hii ni matunda ya mipabgo yao ya miaka Mingi.
2771661_FB_IMG_1620825069555.jpg
 
Hamas announces they carried out multiple ops with suicide drones. At the same time, suicide drones are on the way to Israel.
 
#BREAKING: Israelis in Gaza border area asked to turn off security cameras in homes and businesses, following intelligence that Hamas is waging cyber warfare, taking over the systems and may gather intelligence. Residents also asked to disconnect the systems from the internet.
 
Israel's nightmare is becoming reality.

Palestinian forces just used Loitering Munition (suicide drones) to target Israeli terrorists.

Attack was successful and Palestine will soon reveal the details of the operation.
 
Mambo haya yatapumzika na Mshindi ni yule yule Israel.

Ila kuja Jambo lifanywe kwa ajili ya palestine, ikibidi wahamishwe japo ni ngumu. Ingetokea nchi ikawamegea eneo wake hapo wapalestina. Nchi kama Urusi inaeneo kubwa ambalo hawakai watu, labda wawahamishie huko wapalestina. Wawamegee eneo
Kwa nini huko Urusi wasirudi Waisrael kwa sababu asilimia 31%+ ya Wayahudi wanaoishi Israel ni Ashkenaz Jews ambao wametoka Ulaya ya Mashariki ambapo tayari wana makazi na vizazi? Mfano Benjamin Mileikosky (Netanyahu).
 
Bro,,mvt ilianza mwanzoni mwa mika ya 1900,,na kila myahudi alilenga kurudi alipokuwa,, hadi mwaka 1912 zaid ya jews 75k walikuwa hapo,,na hao walikuwa wale waliokuwa nchi za uarabuni,, wa europe walikwamishwa na. World wars

Kwenye vurugu zote from zile za miaka ya 80, zile za 2000's zote zilianziswa na Palestine wenyewe,na mikataba yote ya amani walosign na jews wao ndo wa kwanza kuitengua,

Vurugu hizi zinazoendela ni baada ya hamas kufyatua makombora kwenda israel na unadhan watanyamaza ,,not this time
Kama hufahamu karibia nchi zote za Kiisilamu zilikuwa na wayahudi, nyengine hadi 100,000. Hivyo Hilo sio geni.

Na mkuu Hamas imeanzishwa na Israel kupambana na Yaser Arafat, hela za kununua silaha na kujiendesha zimetoka Israel. Mpaka baadhi ya viongozi wastaafu wa Israel wamekiri


Na unaweza soma hii doc ya Sara wa Havard, jinsi Israel Walivyoididimiza kimakusudi palestine, mpaka maji na umeme unatoka Israel hawana wa kwao

http://duncankennedy.net/documents/Is-Pal/Second-Syllabus/Sara Roy, De-Development Revisited.pdf

Nchi ambayo haina airport, wala bandari, wala umeme, wala maji imezungukwa na Israeli pande zote huingii wala hutoki, eti ina wapiganaji na masilaha kibao, achana na bomu kupata bastola tu ni shughuli kuipata.
Na hii ni ramani maarufu ya palestina
pic-1-600x400.jpg


Ramani ya kwanza ni ya palestina kabla ya 1947, Wapalestina waliwapokea MA jews na kuwapa eneo lao, wakakaa kwa Amani bila shinikizo la mtu, ila wema wao ukawaponza wakavamiwa wakanyang'anywa nyumba zao na maeneo yao, kila siku eneo lao linapungua hadi ramani ya mwisho.

Ingekuwa ni wewe ungekubali?
 
Wapalestina wakristo wengi wamehamia America Kusini, chile ina Wapalestina kama laki 5, Brazil na Mexico pia wapo zaidi ya laki.

Waisilamu kuna Eneo letu takatifu pale (baadhi pia ya wapalestina wakristo na wayahudi wamebaki) wanalinda eneo takatifu la Masjid al aqsa,

Ni eneo lenye historia kubwa, hivyo kuwaachia watu wasiojua hata umuhimu wake ni kosa kubwa.

Ndio maana unaona kuna watu wapo tayari kufa lakini hawaachii Hilo eneo.
Vichapo vikiwazidi wataachia tu
 
Vichapo vikiwazidi wataachia tu
Hata kina mkwawa, kinjikitile, etc waliuliwa ila leo tunawakumbuka kama mashujaa,

Duniani tunapita na kesho Akhera tukikutana na Mungu tutaulizwa, kama wanaitetea haki yao mwenye Mungu ndio atakaewalipa, na wanaotetea wauaji pia Mwenyezi Mungu nae atawalipa.
 
Mtume gani alishushiwa kitabu kinachoitwa Bible? Na kwanini kuna agano jipya na kongwe? Yaani hakiko stable sasa mnafuata wapi?
Hakuna mtume wala mtu yeyote aliyeshishiwa biblia. Biblia Ndio kitabu kikongwe kuliko vyote ulimwenguni, Ndio kitabu kitakatifu kuliko vyote duniani. Na kitadumu milele kwa sababu biblia ni Mungu mwenyewe, alikuwepo, yupo na atakuwepo milele na milele
 
Ndio maana mnaibiwa mabillion ya mahela kutokana na kuishi kiuwongouwongo, uwongo na chuki vipo ndani ya vifua vyenu but uzuri ni kwamba hiwezi nyeusi kugeuza kuwa nyeupe abadan
Sass haya maneno yanasaidia Nini kama wapalestina wanaendelea kufa kama wanyama? Arab league iko kimya so who cares? Even Allah don't care
 
Back
Top Bottom