Kwanini vyombo vya habari vinaripoti kuwa Israel yashambulia makundi ya Waislam na sio Wapalestina?

Watu wasio na hatia wameuawa lakini vyombo vya habari vimekaa kimyaa.


Millard Ayo na wengine wenye msimamo lama wako, kwakuwa wale ni waislamu ndio maana hamjali, taarifa za vifo vitokanavyo na mayahudi hamleti. Poa endeleeni ivoivo.
 
Watu wengi hawafahamu palestina si Nchi ya Kiisilamu tu, kuna mamilioni ya wakristo pia, wengi wameandoka palestina ila bado wanaitetea huko waliko.
Brainwash mkuu,wakristo wa TZ wao uwa wanakua upande wa israel ambao hawana chembe hata kidogo ya ukristo,wapalestina kuna wakristo wenzao lakini wanahamasishana piga hao palestina 😄
 
Hivi wapalestina si ndio hawa walikuja kumuongezea nguvu Iddi Amin 1978 wakati akipigana na Tanzania?
 
Habar wadau mimi toka juzi Baada ya Vyombo vya Habari Kuanza kuripot vita Baina na Izrael na Palestinian sijaona kabisa sehem hata Moja chombo chochote Kiki ripot kua Izrael imeshambulia wapalestina ila kila Chombo cha Habar kinacho Toa taarifa husema Izrael imeshambulia makund ya waislam bila hata kumkumbuka kua kina watoto wanakufa na kupoteza wazaz wao pia watoto hubaki bila wazazi kwa asilimia kubwa...
Kwani ni uongo kwamba Waislamu ni magaidi?

Boko Haram,Alshabab,Al Qaeda hao siyo magaidi? Na ni Dini gani hao?
 
Yani Palestina iondoke wakati walivamiwa kwenye ardhi yao na Waisrael? Kama ni upenz wa dini sasa ni umezidi ata kama mimi mwenyewe ni Mkristu lakini kitendo kilichofanywa na Israel sio kizuri na kifaa kukemewa na wote wapenda haki..!!

Li inchi lipo kipropaganda tu sikuzote wanakalia maeneo ya waparestina kwa mabavu alafu aoao waparestina wawapisha waisrael..!!
Ukija kwenye dini pia hao waarabu ndio walio waondoa waislael kwenye hiyo ardhi so kwa hoja yako hapo pia waislaeli wameludi kwao pia waislaeli wapo sahihi.kiubinadamu sasa moja yaundwe mataifa mawili au taifa moja.
 
Yani Palestina iondoke wakati walivamiwa kwenye ardhi yao na Waisrael? Kama ni upenz wa dini sasa ni umezidi ata kama mimi mwenyewe ni Mkristu lakini kitendo kilichofanywa na Israel sio kizuri na kifaa kukemewa na wote wapenda haki..!!

Li inchi lipo kipropaganda tu sikuzote wanakalia maeneo ya waparestina kwa mabavu alafu aoao waparestina wawapisha waisrael..!!
Ardhi yao ipi?wote wapo nyumbani hap.
 
Wapalestina wakristo wengi wamehamia America Kusini, chile ina Wapalestina kama laki 5, Brazil na Mexico pia wapo zaidi ya laki.

Waisilamu kuna Eneo letu takatifu pale (baadhi pia ya wapalestina wakristo na wayahudi wamebaki) wanalinda eneo takatifu la Masjid al aqsa,

Ni eneo lenye historia kubwa, hivyo kuwaachia watu wasiojua hata umuhimu wake ni kosa kubwa.

Ndio maana unaona kuna watu wapo tayari kufa lakini hawaachii Hilo eneo.
Kama waislamu mlivyo nyang'anya hilo eneo kwa wenye nalo.wenye nalo ndo wame ludi so mkizingua mtakosa vyote.
 
Mtume gani alishushiwa kitabu kinachoitwa Bible? Na kwanini kuna agano jipya na kongwe? Yaani hakiko stable sasa mnafuata wapi?
Hii mtu ni mbuzi ckiliza boya ww karne ya 15 baada ya ottman empire kuvamia israel wakaibadlisha jins from israel to Palestine,, karne 4 zilizofata in 1900's diaspora za jews zilizotapakaa ulaya na uarabuni zikaanza kurudi nchini kwao,, had 1912 zaid ya 75k jews walikuwa tayar ni settlers hayo maeneo,, then wakawa promised kuwa watarudishiwa eneo lao, hadi 1948 after ww2 UN wakatimiza ahadi ilotolewa,, israel wanted peace kuishi hapo lakini waarabu hawakutaka hlo,,
Vta iloibuka na uchanga wa israel still bado akawafumua mataifa zaid ya 5 ya kiarabu na akakalia gaza strip na sehemu ya Palestine kimabavu hadi 2000's waarabu na jews walipokaa meza moja kutafuta suluhu,, israel ikajiondoa kwenye eneo la Palestine,, walivyojitoa tu vimbwa Hamas vikajenga base ya makombora na kuanza shambulia israel,, so rangu 2006 israel iko kwa constant attack from upande huo,,, acha kuongelea makamas boya ww
 
Watu wengi hawafahamu palestina si Nchi ya Kiisilamu tu, kuna mamilioni ya wakristo pia, wengi wameandoka palestina ila bado wanaitetea huko waliko.
Kwenye kutetea hakuitaji mahaba bali fact mkuu.wote wana haki hapo.
 
Hivi wapalestina si ndio hawa walikuja kumuongezea nguvu Iddi Amin 1978 wakati akipigana na Tanzania?
Palestina watakuja vipi? Hawana jeshi hawana chochote Utakua umechanganya na Libya.

Palestina waliwahi kuteka Ndege ya waisrael Uganda tu, wana mahusiano mazuri na Uganda kipindi kile Iddi amini aliwasupport, na hata Juzi juzi Netanyahu alitembelea Uganda Museveni alikuwa akitAja Nchi waliotoka kama Palestina, Wali mind sana Israel.

 
Kama waislamu mlivyo nyang'anya hilo eneo kwa wenye nalo.wenye nalo ndo wame ludi so mkizingua mtakosa vyote.
Waisilamu walinyang'anya lini? Hao Wapalestina wana asili ya hapo toka dunia ina umbwa, vithibitisho vyote vya kisayansi vipo, ila hawa wazungu walikuja na blonde hair na blue eyes ndio kwao? Uturuki wenyewe ambao wapo mpakani mwa ulaya na Middle East hawapo hivyo.
 
Na Hamas walivyo wapuuzi 200 missles walizorusha wao zimehit their own territory, so they don't care watampiga nan, as long as wametusha makombora na kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mwaka wa 14 huu,,, bas akaona afanye upuuzi huo
 
Mambo haya yatapumzika na Mshindi ni yule yule Israel.

Ila kuja Jambo lifanywe kwa ajili ya palestine, ikibidi wahamishwe japo ni ngumu. Ingetokea nchi ikawamegea eneo wake hapo wapalestina. Nchi kama Urusi inaeneo kubwa ambalo hawakai watu, labda wawahamishie huko wapalestina. Wawamegee eneo
Rubish , yaani Mwenye Nyumba ampishe mgeni jamani, maajabu haya
 
Ndio maana mnaibiwa mabillion ya mahela kutokana na kuishi kiuwongouwongo, uwongo na chuki vipo ndani ya vifua vyenu but uzuri ni kwamba hiwezi nyeusi kugeuza kuwa nyeupe abadan
Ni kweli nyeusi haiwezi kuwa nyeupe.kwamba wenye nchi wamerudi hauwezi kufanyanya chochote.
 
Dozens of rockets were launched toward most of the cities and colonies in the central part and southern Palestine. Including Tel Aviv and Beersheeva
 
Waisilamu walinyang'anya lini? Hao Wapalestina wana asili ya hapo toka dunia ina umbwa, vithibitisho vyote vya kisayansi vipo, ila hawa wazungu walikuja na blonde hair na blue eyes ndio kwao? Uturuki wenyewe ambao wapo mpakani mwa ulaya na Middle East hawapo hivyo.
Na waislaeli wa asili ya wapi? Blonde hair sio tatizo hata wakurdi hapo middle east wanazo mkuu huenda ndio tofaut ya waislaeli na waarabu mkuu pia kutokana na mchanganyiko alivyo tawanyika.hapo ni busara tu ndo inatakiwa vita lazima upande mmoja ukose tu.
 
UPDATE: Hamas's Al-Qassam Brigades has claimed responsibility for the latest rocket barrage which also targetted Tel Aviv, claiming to have used a new rocket type called 'Ayyash 250'
 
Back
Top Bottom