Kwanini vodacom wana bei sana kwenye vifurushi vyao?

Aise me naona huyu MD mpya WA VODA ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe? Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana..
Mhh, we mfanyakazi wa tigo
 
Kwangu mimi Voda ni nafuu kuliko mtandao mwingine wowote, na pia napata internet yenye kasi. Vodacom.ni nafuu kwa watumiaji wakubwa, ambao wanapiga simu sana na kutumia data za kutosha kama kuanzia GB 2 kwa siku.

Ila kwa wele wa MB 500 kwa siku voda haziwafai. Nafikiri wameamua kuji position hivyo...
 
Ifanye laini ya voda kama bank.


Ifanye laini ya Tigo/halotel kama suluhu ya kuingia internet
Tigo and halotel they have worst internet I have ever seen..speed mbovu kabisa..
Vodacom wana tuhuma nyingi ila kwenye internet nawakubali, kwa sisi tunaopenda kufanya vitu on time internet yenye speed ndio haswa tunayohitaji sio speed ya kobe
 
Back
Top Bottom