Kwanini viwanda vya JKT na Magereza havitengenezi barakoa? Serikali igawe barakoa kwa walio katika hatari ya maambukizi

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,431
54,969
.Kichwa cha habari kinahusika.

JKT na Magereza wana viwanda vya ushonaji.

Nilitegemea viwanda hivyo viwe ktk operesheni maalumu ya kutengeneza barakoa na kuzigawa kwa makundi yaliyo ktk hatari ya kuambukizwa.

Kwenye nchi za wenzetu viwanda mbalimbali vimebadili bidhaa wanazozalisha ili kukabiliana na tatizo la covid19.

Covid19 ni tishio kwa USALAMA wa nchi na UCHUMI wetu.
 
Lock down kwanza ifanyike sahiv wagonjwa88

..lockdown hatuwezi.

..lakini hili la barakoa liko ndani ya uwezo wetu.

..JKT na Magereza walipaswa kuingia kazini na kutengeneza barakoa nyingi ambazo zitagawiwa kwa makundi yaliyo ktk hatari ya kuambukizwa.
 
Kile cha maji kilicho funguliwa kwa mbwembwe kwamba ndiyo kitatoa huduma kwenye idara na mikutano yote kimeishia wapi?
 
Back
Top Bottom