Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,330
Hivi karibuni Waziri Mkuu wa Ethiopia amewaomba wananchi waungane na wale wenye uwezo wajiunge na majeshi ya Ethiopia ili kupambana na waasi wa TPLF.
Hii imetokea baada ya kuonekana kuzidiwa kwa jeshi la Ethiopia kwenye mapambano dhidi ya wahasimu wao wa TPLF. Vita hii mwanzoni ilionekaba nyepesi kwani iliwachukua Ethiopia siku chache sana kuteka uliokuwa mji mkuu wa Tigray.
Kwa upande mwingine jamii ya Oromo wametangaza wazi kwamba wanawaunga mkono wamajeshi wa TPLF dhidi ya Ethiopia.
Ni nini hasa kimebadili uelekeo wa vita hii, kwani ethiopia wenye Jeshi kubwa na silaha za kisasa wanaonekana kuzidiwa na wanamgambo wachache mpaka kupelekea wanajeshi wao 7000 kutekwa.