HAPANA HAPANA HAPANA TUNA HAKI YA KUJUWA MBOWE ALIZIPELEKA WAPI HIZI HELA TUKIWAAMBIA MBOWE MPIGAJI MNAMTETEA KAMA MNAVYOAMINI SASA HIVI HAWEZI KUWA GAIDI ALIWEZAJE KULA HELA YOTE HIYO LAKINI NA NYIE CHADEMA KAMA MMELOGWA NA MBOWE KWELI HAMUWEZI HOJI HIZO HELA ZIKO WAPI?
Umenena ukweli.
 
Mleta mada hizo pesa zilitumika kwenye harusi yako,unakumbuka ulienda honey moon Pemba na ulikaa kwenye 5 star hotel kwa wiki 2 na mumeo unadhani mumeo alipata wapi pesa ya kuspend kiasi kile?
Wewe na mumeo ndio mmefanya CHADEMA wasijenge ofisi yao.
 
Hapana hapana hapana tuna haki ya kujuwa mbowe alizipeleka wapi hizi hela tukiwaambia Mbowe mpigaji mnamtetea kama mnavyoamini sasa hivi hawezi kuwa gaidi aliwezaje kula hela yote hiyo lakini na nyie Chadema kama mmelogwa na mbowe kweli hamuwezi hoji hizo hela ziko wapi?
200m za Hayati Hamza ziko wapi
36A8C4E9-2AD6-49BC-8FBC-EE173264B10B.jpeg
 
Pamo na kuzunguka Tanzania nzima na kukusanya ada au tozo ya kujiunga Chadema lakini sijasikia kiongozi yoyote akisema mapato haya yatatumika kujenga ofisi ya maana.

Ni aibu kuwa na chama kikubwa kama hiki chetu alafu ofisi ya ajabu ajabu.

Madhari tunakwenda kidijitali basi na ofisi iwe ya kidijital

Tujenge ofisi kubwa na ya kisasa maana tunasonga kidijitali
 
Nadhani wanafokasi. First things first. Itakuwa ubwembwe wa akili na undobi wa ubongo, as it were, kujenga majengo butu, dufu na tupu ilhali Chairman wa chama chao yuko mahabusu almost a year now. Kwa maneno mengine, Chama cha Demoghasia & Maombolezo kinafasili kinamna falsafa yao mantihafu ya ^Majengo si maendeleo.^
 
Mbowe hajawai kuwa na uhakika wakuchua nchi hivyo hakuona haja ya kuwekeza ktk biashara isiyo lipa. Nakama unabisha tupeni nchi muone
 
Mkuu mbona upo obsessed mno na jengo? Chama sio jengo!chama ni wanachama! Chama dola kilituibia na kujenga viwanja vya mpira karibu kila kanda mfano majimaji hapa Songea, je leo ule uwanja ni aibu tupu. Relax system's bado ipo upande wako ila yatakapotokea mabadiliko uyakubali middle class wewe.
 
Ni aibu kubwa wasakata kabumbu wa Yanga na Simba wakawa na umoja na nguvu kiasi cha kujenga ofisi za chama

Sisi kama wadau demokrasia na maendeleo inatupasa kujenga jengo la ghorofa tatu kama ofisi ya makao makuu.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom