Kwanini viongozi wengi wanapowekwa rumande/gerezani au kuitwa kwenye kamati ya masdili hupenda kubeba vitabu?

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,624
9,167
Hivi huko gerezani au mahabusu kuna V.I.P?
Ili mtu aweze kusoma kitabu ni lazima akae sehemu ambayo ni comfortable,

Kwanini viongozi wetu wanapopata majanga hupenda kubeba vitabu mfano wanapoelekea mahakamani au kwenye kamati ya maadili ,

Mwenye majibu atusaidie
 
20211001_202218.jpg

20211001_202152.jpg


20211001_202245.jpg
 
Kuna mchiz wangu niliendaga mtembelea mahabusu, kitu alichokua anasisitiza ni kuletewa vitabu. Vitabu vinanguvu kubwa mno ambayo wazungu walishaigundua toka mwanzo ila sisi hadi tuwe kwenye hali kama hiyo ndo tunagundua. Africans tutabaki kuwa Africans
 
Vitabu vinabeba contents nyingi, na tofauti tofauti! Vingine ni kwa ajili kumpa mtu matumaini na faraja anapopitia wakati mgumu!
 
Back
Top Bottom