Kwanini Viongozi wengi wakiwa wanahutubia mbele ya Rais Magufuli huwa hawajiamini na wanatetemeka ila huyu pekee huwa anajiamini sana?

siku nmekutana na magu Kwenye project flani sikumtetemekea hata kidogo , yaani no kumsifia sifia ilikua straight to the points on topic per see

Akabaki ananishangaa !

Mi siwezi ogopa mwanadamu mwenzangu aisee
Nimejikuta nacheka jinsi Baba Swalehe ulivyogeuka na kuwa na uso wa mbuzi kama umetafuna limao!
Jamaa kashangaa huyu vipi hanisifii?
 
Ukishajua madhaifu ya mtu na kuzicover wasiwasi wa nini??
Njoo pale bakongo banasema ngufu ya mamba kumayi mkulu anaopwa na kuwaogopesha wasiomjua lakini wanamjua madhaifu yake hawana hata pressure nae.uko sahihi mkuu.
 
Nimekuwa nikipenda mno Kuwafuatilia Viongozi mbalimbali hasa wakiwa wanazungumza na hadhira mbele ya Mheshimiwa Rais Magufuli ambapo wengi wao huwa wanakuwa hawajiamini, waoga waoga na hata wapo ambao wanatetemeka sana ila kwa Injinia Mfugale imekuwa ni tofauti kabisa ambapo huwa anajiamini, haogopi na hata uwasilishaji wake umekaa kiuhakika zaidi.

Kwanini inakuwa hivi?
Usiichezee tunguli 900
 
Na kuonyesha ambavyo huyo anayeogopwa anavyo muogopa na kumtetemekea huyo Mfugale mpaka akampa daraja la Tazara jina lake wakati bado mtumishi wa umma kama kujikomba.
Kwa nini anajikomba na kumuigopa Mfugale? Nakumbuka walikuwa wote kwenye haya mabarabara ya chini ya kiwango na hata Kijazi naye alikuwa huko.
Kuna siri kubwa inafichwa. Hasa huko Tanroad

Mkuu ohoooo....utawaharibia Mfugale na Kijazi akitaka kuthibitisha hawaogopi
 
Hapo Kwa Dau, naomba utafiti tena, maana Dau alikuwa chini ya wizara ya kazi wakati jiwe ni wizara ya ujenzi.
Hiyo haitoshi...!!!

Jiwe ana kampuni mbili za uhandisi na ndio zinazoshika tenda nyingi sana kwasasa za ujenzi wa barabara na majengo, hao kina Mfugale na Kijazi wote wawili ndio wanamfanyia michongo yote ya kupiga pesa.

Mwanzoni alikuwa anakula na Ramadhan Dau, watu wakamstukia akampa jamaa ubalozi apotee kwanza nchini.
 
Kwani huu Uzi unamzungumzia huyo sijui cleveright wako ameuchangia kokote pale? Na kwanini unamjadili ndani ya Uzi wangu Mimi GENTAMYCINE?
Huwa ana maoni mazuri tuu na mimi moja kwa moja nikaona ni vema nimtaje katika uzi huu ili alete maoni yake ambayo yanaweza basi kukupa majibu mujarabu kumhusu Mfugale. Pia nisiwe mchoyo wa fadhila kwa kutokumualika An Eagle naye aje humu kwani combination ya huu utatu utatuletea majibu mazuri.
Namaanisha utatu wa members makini kabisa humu GENTAMYCINE , cleverbright na An Eagle.
 
Huwa ana maoni mazuri tuu na mimi moja kwa moja nikaona ni vema nimtaje katika uzi huu ili alete maoni yake ambayo yanaweza basi kukupa majibu mujarabu kumhusu Mfugale. Pia nisiwe mchoyo wa fadhila kwa kutokumualika An Eagle naye aje humu kwani combination ya huu utatu utatuletea majibu mazuri.
Namaanisha utatu wa members makini kabisa humu GENTAMYCINE , cleverbright na An Eagle.

Naona ' unawashwawashwa ' Mkuu au?
 
Back
Top Bottom