Kwanini Viongozi wengi wakiwa wanahutubia mbele ya Rais Magufuli huwa hawajiamini na wanatetemeka ila huyu pekee huwa anajiamini sana?

Ukileta upopoma naleta ududuna! Haya turudi kwenye Mada...

Niliishia pale nilipohitaji maoni ya An Eagle na cleverbright bila kumaahau Makongoro Nyerere

Aliyekudanganya na Kukuaminisha kuwa hizo ID's zako Mbili tajwa hapo ni zangu na kwamba mwenye ID hii ya GENTAMYCINE ni Makongoro Nyerere Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa Awamu ya Kwanza Mwalimu Julius Kambarage Burito Nyerere amekudanganya mno na wale Watu kadhaa wanaonijua Mimi ' Personally ' hapa Jamvini JamiiForums wanakuona bonge la Popoma Lililotukuka. Sishangai kwani kuna Watu ( Members ) hapa hapa walishanifananisha Mimi hadi na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na kusema kuwa ndiye GENTAMYCINE.

Wafuatao ni Watu ambao wameshahusishwa na ID hii ya GENTAMYCINE kuwa ndiyo Wao kwa 100% ukiachana na Rais JPM:

Nape Nnauye
Haji Manara
Shaffih Dauda
Ayoub Ryoba
Jerry Muro
Cyprian Musiba
Crencetius Magori
Paul Makonda
Hussein Bashe
Livingstone Lusinde
Jack Zoka

Poleni mno mnaoteseka juu ya GENTAMYCINE ni nani na bado nitawateseni sana tu hadi mpasuke na ikiwezekana mfe kabisa. Na kwakuwa kila ID iliyopo hapa Jamvini huwa mnakimbilia Kuihusianisha na Mimi moja kwa moja basi naomba kuanzia leo niwarahisishieni tu kwa Kuwaambieni kuwa ID's zote zilizopo hapa JamiiForums ni zangu Mimi GENTAMYCINE. Wasambazie taarifa hii na wengine tafadhali.
 
Nikiambiwa ninunue ' Comment ' ambayo imejaa Ukweli mtupu katika huu Uzi wangu basi hii yako ningeinunua kwa Gharama yoyote ile kwani umeelezea vyema kabisa na nadhani ni kutokana na tabia yake ya Kutopenda Unafiki, Kujiamini kwakuwa anajua anachokifanya Kiuweledi na hana Rekodi yoyote mbaya ndiyo maana huwa anakuwa hana wasiwasi popote pale na Uwasilishaji wake huwa ni wa Kiuhakika kabisa na wala hababaiki kama wengineo wengi tu. Heko Mkuu nimekukubali.
nakuruhusu uinunue Kwa gharama ya utumdu ulio katikati ya makalist.
 
Aliyekudanganya na Kukuaminisha kuwa hizo ID's zako Mbili tajwa hapo ni zangu na kwamba mwenye ID hii ya GENTAMYCINE ni Makongoro Nyerere Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa Awamu ya Kwanza Mwalimu Julius Kambarage Burito Nyerere amekudanganya mno na wale Watu kadhaa wanaonijua Mimi ' Personally ' hapa Jamvini JamiiForums wanakuona bonge la Popoma Lililotukuka. Sishangai kwani kuna Watu ( Members ) hapa hapa walishanifananisha Mimi hadi na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na kusema kuwa ndiye GENTAMYCINE.

Wafuatao ni Watu ambao wameshahusishwa na ID hii ya GENTAMYCINE kuwa ndiyo Wao kwa 100% ukiachana na Rais JPM:

Nape Nnauye
Haji Manara
Shaffih Dauda
Ayoub Ryoba
Jerry Muro
Cyprian Musiba
Crencetius Magori
Paul Makonda
Hussein Bashe
Livingstone Lusinde
Jack Zoka

Poleni mno mnaoteseka juu ya GENTAMYCINE ni nani na bado nitawateseni sana tu hadi mpasuke na ikiwezekana mfe kabisa. Na kwakuwa kila ID iliyopo hapa Jamvini huwa mnakimbilia Kuihusianisha na Mimi moja kwa moja basi naomba kuanzia leo niwarahisishieni tu kwa Kuwaambieni kuwa ID's zote zilizopo hapa JamiiForums ni zangu Mimi GENTAMYCINE. Wasambazie taarifa hii na wengine tafadhali.
usitafute ujiko fara weye! Mbona mimi nimefananishwa na Trump ajili ya good english unaona naliaa? Mfyuxcxcc
 
Ili kuepusha utumbuzi. Ukinisijudia nami nitakupa milki na fahari yote ya dunia Ewe shetani enenda zako imeandikwa wa kusujudiwa na kuabudiwa ni Mola pekee
 
Mkuu GENTAMYCINE sababu iko wazi wateule wengi hawajiamini na utendaji kazi wao na pia kiongozi hana simile anaweza kumfokea hadharani, kumbuka issue ya Mkuu wa Wilaya ya Simuyu kuungana na Kundi la wachawi wa Gamboshi hadharani kuwatowesha watakaotaka kuwania kiti cha urais ndani ya ccm uchaguzi 2020
Hebu nielezee hii habari imekaaje!GAMBOSHI????DC?CCM?UCHAGUZI?.
 
Kwani Kikwete na Lowassa walikutana barabarani na nini kilitokea? Mwisho wa siku wote ni wana wa Adam kwa hiyo fitna na usaliti ni asili yetu.

Mfugale akijisahau akaanza kutunisha kifua, ataishia kuozea jela!
 
Nimekuwa nikipenda mno Kuwafuatilia Viongozi mbalimbali hasa wakiwa wanazungumza na hadhira mbele ya Mheshimiwa Rais Magufuli ambapo wengi wao huwa wanakuwa hawajiamini, waoga waoga na hata wapo ambao wanatetemeka sana ila kwa Injinia Mfugale imekuwa ni tofauti kabisa ambapo huwa anajiamini, haogopi na hata uwasilishaji wake umekaa kiuhakika zaidi.

Kwanini inakuwa hivi?
Mwizi mwenzie
 
Sasa si walikuwa wanapiga nae mchuzi? It's simple
 
Kuna Mtu ' Maalum ' aliwahi Kuniambia kuwa Jamaa ( yaani JPM ) atang'aka kote ila akifika kwa Injinia huwa ' anapoa ' na Yeye sasa akifanya mzaha ndiyo ' anawakiwa ' na Injinia. Sijui hili lina ukweli Kiasi gani Mkuu kwani huku Mitaani Kwetu kuna ' Stori ' nyingi nyingi ambazo Kuzipima kama zina ukweli au ni za uwongo huwa ni tatizo.
Magu alikuwa muongo muongo anamtegemea injinia ampe data ili aje atuuzie chai za viongozi wenzie walikuwa wanaona jamaa anajua kumbe bingwa wake ndio huyo.

Hata namna ya kupunguza centimeters za upana wa barabara ndio alimfundisha huyu.

Wacha akamsaidie huko walipo wajenge barabara tulienda tukute madaraja na lami wakituzingua tunawasemelea kwa mwenye Mbingu.
 
Back
Top Bottom