Kwanini viongozi wengi uhubiri Uzalendo pindi wakiwa kwenye system na system ikiwatema wanageuka?

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Je, inatosha kusema kuwa Tanzania hasa ndani ya ccm tuna wazalendo Wa kweli, au kwa kuwa wako kwenye system ndiyo maana wanajifanya kuhubiri suala LA uzalendo kinafiki?

Kwa nini wengi was wakitolewa kwenye system wanabadilika na kuwa sawa na wale ambao inaaminika siyo wazalendo mfano wapinzani?

Tunaye Nape. Kabla hajatoka kwenye system alikuwa ni miongoni mwa watu ambao waliona wapinzani kama watu ambao siyo wazalendo ila Mara tu alipotolewa sasa hivi na yeye kaunganishwa kwenye kundi hilo kwani ameanza kuihoji serikali.

Sababu ya kwanza ya mtu kuonekana siyo mzalendo ni pamoja na Kuikosoa Serikali

Pray for Lissu
Nibozali Wa Lumumbani
 
Back
Top Bottom