Kwanini viongozi wengi toka Mara ni waadilifu hawapo kazini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini viongozi wengi toka Mara ni waadilifu hawapo kazini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kokolo, Jul 30, 2012.

 1. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 431
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Mwl Nyerere vs - Mwinyi/Mkapa/Kikwete
  J. Warioba vs Msuya/Lowasa/
  Prof. Sospeter (Nishati na madini) vs Karamagi/Ngereja
  Maswi Katibu (Nishati na Madini) vs Jairo etc
  the list goes on
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Mbona hujamtaja Edward moringe sokoine,think big acha ubaguzi wa kishamba .
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,472
  Likes Received: 9,873
  Trophy Points: 280
  Bangi na gongo zinawafanya wawe wazalendo, shime shime serikali tuhalalishie matumizi ya gongo na bangi.
  Tuna stress za waume zetu, stress za mafisadi na stress za chama tawala
   
 4. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hapa issue siyo mtu anatokea mkoa gani bali tabia binafsi ya mhusika.
   
 5. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,785
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  hata Nimrod Mkono ni mwadilifu au huyu sio kutoka Mara?
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wilson Mukama vs Yusuf Makamba
   
 7. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,785
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  vp jaji mkuu Fredrick Werema ana uadilifu gani nipe japo moja!
   
 8. C

  Chikwakara Senior Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani werema ni jaji mkuu? Rekebisha swali kabla mgomo wa walimu haujaisha wasije kukupa mboko bure ohoooo!
   
 9. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,884
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ngoja kwanza nikae pembeni
   
 10. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 9,943
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Kusema kweli mi nawakubali sn watu wa mbeya kwa uadilifu uliotukuka.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,472
  Likes Received: 9,873
  Trophy Points: 280
  Havuti bangi wala hanywi gongo
   
 12. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,551
  Likes Received: 9,281
  Trophy Points: 280
  wasira nae ni mwadilifu??
   
 13. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,922
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  unamjua Nimrod Mkono au umamsikia na kumsifia wewe subiri sakata la Tanesco lifumuke vizuri ndani ya wiki hili utamjua alivyokuwa wakili wa kuitetea mafisadi atakapokuwemo kwenye list ya mabilioni 93 ya kuwalipa Dowans
   
 14. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 6,431
  Likes Received: 3,123
  Trophy Points: 280
  Zanzibaris are believed to be the least corrupt people in Tanzania. Sijawahi kusikia mzanzibari katuhumiwa kwa rushwa.
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Wassira vipi?
   
 16. SoNotorious

  SoNotorious JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 2,427
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wazazi wa mara wanafundisha watoto wao uadilifu wazazi wa mikoa mingine wanafundisha watoto wao magumashi.
   
 17. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,600
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Yeye anazungumzia wa musoma au sokoine ni wa musoma?
  kama unaona haijakaa sawa anzisha ya kwako ya Ole sendeka, Ole sokoine na kuendela
   
 18. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,682
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kama Wassira ni mwadilifu basi tumeisha. Huyu si ndo alikula pesa ya kujengea hospital ya mkoa wa Mara mpaka sasa limebaki gofu? Msitake kuwa mnajiumbua bure.
   
 19. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Mara inaweza kujivunia viongozi wengi waadilifu lakini sidhani kama ni issue ya kuweka jamvini. Swala si Mkoa wao bali malezi ya baadhi ya wazazi wao na principles binafsi. Inawezekana hata Mh. Jaji alikuwa muadilifu kipindi fulani lakini kwa sasa siamini kama ile mipasho yote anayotetea Bungeni ni ya kiadilifu.
   
 20. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #20
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Msuguri v/s Mboma(shimbo)
   
Loading...