Kwanini viongozi wanaonea wivu vijana waliojiajiri?

Greataziz

Senior Member
Feb 8, 2018
124
99
Huwa napata hasira sana aisee Kwanini Viongozi hasa wa amamu hii wanaonea wivu sana vijana waliojiajiri wakitoboa.

Mfano: Ipo mingi sana Hasa wanaopiga issue za mitandaoni ukienda bank hasa hizi bank zenye serikali ina hisa kubwa kuanzia ma manager wanaanza kukupeleleza hata wakijua una fanya kazi halali kabisa wanaanza kushikilia miamala yako pasipo na sababu za msingi mradi tu wakusumbue kwani wivu unatoka wapi hasa kwa viongozi kwanini wasiache vijana wapambane na hali zao kujipatia kipato ilihali ni halali sio wizi wa aina yeyote

NB: Naongelea kazi halali kabisa za online ziko kibao sana sitaki kuanza kutaja hapa hapatatosha achana na wale matapeli.

Picha haihusiani na Mada Tajwa
IMG-20191112-WA0038.jpeg
 
Kwakua wao wameajiriwa na kila siku wanaishia kukutukanwa na kuitwa wapumbavu wanywa mikojo
 
Mzee inakera sanaaa yaani
Why ikukere? wao ndio wenye shida not you!! Mtu akikutukana, usijali yeye ndio mwenye tatizo sio wewe. Ushawahi kuona mtu amekaa uchi? Imagine, demu amekaa uchio mzigo wote uko wazi na hajavaa kufuli, anayeona aibu ni wewe au ni yeye? Nadhani wewe unayemuangalia ndio uanyeona aibu, the same applies
 
Hayo today kumi unapokuwa unahitaji fedha za kigeni kumekuwa na vikwazo kibao Mara pasi Mara ticket.

Hivi free market economy wenzetu hawaisomi yaani mtu anunue Sterling pound au euro Hana kazi nazo kweli huo so utakuwa upunguani.

Hili swala la kufungia burea de change limekuwa mwiba kwa mwananchi badala ya kuleta unafuu. Ukihitaji pesa za kigeni Kuna mlolongo mkubwa usiokuwa na faida.

Mara kitambulisho, pasi ya kusafiria, ticketi, hotel reservation.

Hivi wenzetu wanawaza kibiashara au kibepari kweli au ndio ujamaa umetamalaki yaani lazima wote waajiriwe . Hatuwezi kupiga hatua kwa style hii ya kisoshalisti.

Ni muhimu bureau de change zirudishwe ili mzunguko wa foreign currency uongezeke.
 
Nadhani shida iko kwa wazee waliopewa dhamana pale BOT Wako ki enzi za mwalimu sana
Hayo today kumi unapokuwa unahitaji fedha za kigeni kumekuwa na vikwazo kibao Mara pasi Mara ticket.

Hivi free market economy wenzetu hawaisomi yaani mtu anunue Sterling pound au euro Hana kazi nazo kweli huo so utakuwa upunguani.

Hili swala la kufungia burea de change limekuwa mwiba kwa mwananchi badala ya kuleta unafuu. Ukihitaji pesa za kigeni Kuna mlolongo mkubwa usiokuwa na faida.

Mara kitambulisho, pasi ya kusafiria, ticketi, hotel reservation.

Hivi wenzetu wanawaza kibiashara au kibepari kweli au ndio ujamaa umetamalaki yaani lazima wote waajiriwe . Hatuwezi kupiga hatua kwa style hii ya kisoshalisti.

Ni muhimu bureau de change zirudishwe ili mzunguko wa foreign currency uongezeke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom