Kwanini viongozi wanaojitapa kuishinda Corona ni walewale kwa kila tukio wanakuwa mstari wa mbele na baadaye wana "prove failure?"

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,122
2,000
Viongozi wanaojitapa kuishinda Corona ni wale wale ambao kwenye kila tukio hujitokeza na kupiga makelele kweli huku wakitunisha vifua ila baadaye wanakuja kufeli vibaya sana wakati uhalisia unapojidhihirisha.

Wakati kwenye hili jambo la Corona tayari tumeacha siasa zitawale uhalisia, wameibuka wale wale wakiongozwa na Rais Magufuli wakisema kuwa wameishinda Corona. Ni wale wale kina Paul Christian Makonda, Palamagamba Kabudi na baadhi ya wapotoshaji wengine wa ukweli. Mbaya zaidi kwenye hili wanaonyesha dhahiri siasa zao za uongo mchana kweupeeee vila hata ya aibu.

Unatangaza vipi umeishinda vita wakati mwanzoni tu mwa vita ulitundika silaha kwenye mabega ukatoka nduki? Unamdanganya nani kwenye dunia hii asiye na akili? Tofauti na huko nyuma uongo umekuwa tukielezwa sisi watanzania, leo uongo wanaelezwa dunia ya watu wenye kila aina ya vifaa kuthibitisha upotoshaji wetu.

Sasa huko kwa majirani tu tunaumbuliwa mchana kweupe huku ndani tukiendelea kupiga zumari. Haitachukua muda tutatumia muda wetu mwingi kupambana na uongo wetu. Tuombe uzima ila tusije tena kuambiana tuungane mkono, sijui hii ni vita ya nchi! Litakuwa la kwenu wenyewe!

Ni wajibu wa wizara husika ya afya kuachwa ifanye kazi kwa uweledi maana hii ni dunia ambayo Corona kwenye kiipambania wengi wamelipa kipaumbele cha kipekee. Hizi siasa hazina umbali mrefu ohooo.
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,627

Hebu kwanza sikiliza Msigwa alivyowavua nguo Chadema, mengine baadaye
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,553

Wewe unawaamini zaidi majirani kuliko familia yako?!!!
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
6,955

Ukisha jua maana ya unafiki huumizi kichwa
 
pandagichiza

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
3,893

Tujipe wiki ngapi tena
 
Pelle mza

JF-Expert Member
May 15, 2008
3,051
2,000
Wewe ni miongoni mwa askari waliokufa kwa kupigwa risasi ya makario, maana yake umekingimbia vita!
 
Nampurukano

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
1,161
2,000
Viongozi wanaojitapa kuishinda Corona ni wale wale ambao kwenye kila tukio hujitokeza na kupiga makelele kweli huku wakitunisha vifua ila baadaye wanakuja kufeli vibaya sana wakati uhalisia unapojidhihirisha.

Wakati kwenye hili jambo la Corona tayari tumeacha siasa zitawale uhalisia, wameibuka wale wale wakiongozwa na Rais Magufuli wakisema kuwa wameishinda Corona. Ni wale wale kina Paul Christian Makonda, Palamagamba Kabudi na baadhi ya wapotoshaji wengine wa ukweli. Mbaya zaidi kwenye hili wanaonyesha dhahiri siasa zao za uongo mchana kweupeeee vila hata ya aibu.

Unatangaza vipi umeishinda vita wakati mwanzoni tu mwa vita ulitundika silaha kwenye mabega ukatoka nduki? Unamdanganya nani kwenye dunia hii asiye na akili? Tofauti na huko nyuma uongo umekuwa tukielezwa sisi watanzania, leo uongo wanaelezwa dunia ya watu wenye kila aina ya vifaa kuthibitisha upotoshaji wetu.

Sasa huko kwa majirani tu tunaumbuliwa mchana kweupe huku ndani tukiendelea kupiga zumari. Haitachukua muda tutatumia muda wetu mwingi kupambana na uongo wetu. Tuombe uzima ila tusije tena kuambiana tuungane mkono, sijui hii ni vita ya nchi! Litakuwa la kwenu wenyewe!

Ni wajibu wa wizara husika ya afya kuachwa ifanye kazi kwa uweledi maana hii ni dunia ambayo Corona kwenye kiipambania wengi wamelipa kipaumbele cha kipekee. Hizi siasa hazina umbali mrefu ohooo.
Kiongozi chukua tahadhari corona ipo na inauwa, hao wengine ndo ulaji wao huwa. Wakati akina Mo wanakuna kichwa na mauzo wenzako wanakuna kichwa na jinsi ya kumfurahisha boss.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom