Kwanini viongozi wa Upinzani Tanzania hawajulikani kimataifa' kama alivyokuwa Dkt. Slaa, hata Afrika Mashariki hawajulikani

Lkn kinachotushangaza wengine ni namna serikali hii inavyopambana nao kwa kutumia fedha za umma, bunge la serikali, mahakama za serikali na silaha za moto kiasi kwamba ni taahira tu ndio anayeweza kuamini ulichoandika.
 
Tunakumbuka enzi za Dr slaa alikuwa anaalikwa na Viongozi wa kitaifa wa Marekani, alikuwa anaalikwa kuhutubia mabunge inchi za ulaya.

Dr slaa alialikwa Marekani akaenda akajaza Wazungu kwenda kushuhudia hotuba yake ya kizalendo katikati ya hotuba Wazungu walikuwa wanapiga makofi.

Leo hii Viongozi wa Upinzani wamebaki kuvizia Magufuli amesema nini wakimbilie Twitter kwenda kujifurahisha.

Hawajulikani hata Africa mashariki ukienda kenya uulize nani ni figure ya Upinzani Tanzania watakuambia Tanzania Hakuna upinzani.

Ukienda Rwanda, Uganda, Burundi Hawajui mpinzani hata mmoja Tanzania.

Ila Kiongozi wa Upinzani kenya anajulikana ni Odinga huwa anaalikwa na wazungu.

Rwanda, ingabire anatambulika kimataifa.

Uganda besigye anatambulika kimataifa.

Burundi agathon rwasa anatambulika kimataifa.

Sudan Kusini riki machar anatambulika kimataifa.

Kulikoni Tanzania? Tunakosa Viongozi wa Upinzani wanaojielewa?

Viongozi wengi wa Upinzani Tanzania huwa wanaomba interviews kwenye idhaa za kiswahili km BBC, dw na Voa ili wasikike nje ya hapo Hakuna anaewajua.

Dr slaa alikuwa anaalikwa na wazungu kwenda kuhudhuria mambo ya kitaifa ya Wazungu.

Ila hawa Wapinzani tulionao pamoja na kuwa wanawaabudu Wazungu ila ni kama wanapotezewa Hivi, wasipojiongeza kuomba kutembelea huko hakuna anaewajua.

Tena wakienda hawapewi hadhi ya kiongozi wa upinzani inakuwa ni kama mgeni wa kawaida tu.

Wapinzani wanakosea wapi? Mbona kila siku wanapeleka malalamiko kwa Wazungu ila Wazungu hawajali?

Sent using Jamii Forums mobile app

Lema anaota ndoto na kuwa nabii

Lissu mzee wa madini kagundua wenye madini ndio wasemaji

Mbowe anajitahidi, ana akili, ila hajasoma! Hajiamini

Zito anajulikana, hate him or love him ana exposure kubwa na anajulikana kuliko any opposition leader kwa sasa
 
Tunakumbuka enzi za Dr slaa alikuwa anaalikwa na Viongozi wa kitaifa wa Marekani, alikuwa anaalikwa kuhutubia mabunge inchi za ulaya.

Dr slaa alialikwa Marekani akaenda akajaza Wazungu kwenda kushuhudia hotuba yake ya kizalendo katikati ya hotuba Wazungu walikuwa wanapiga makofi.

Leo hii Viongozi wa Upinzani wamebaki kuvizia Magufuli amesema nini wakimbilie Twitter kwenda kujifurahisha.

Hawajulikani hata Africa mashariki ukienda kenya uulize nani ni figure ya Upinzani Tanzania watakuambia Tanzania Hakuna upinzani.

Ukienda Rwanda, Uganda, Burundi Hawajui mpinzani hata mmoja Tanzania.

Ila Kiongozi wa Upinzani kenya anajulikana ni Odinga huwa anaalikwa na wazungu.

Rwanda, ingabire anatambulika kimataifa.

Uganda besigye anatambulika kimataifa.

Burundi agathon rwasa anatambulika kimataifa.

Sudan Kusini riki machar anatambulika kimataifa.

Kulikoni Tanzania? Tunakosa Viongozi wa Upinzani wanaojielewa?

Viongozi wengi wa Upinzani Tanzania huwa wanaomba interviews kwenye idhaa za kiswahili km BBC, dw na Voa ili wasikike nje ya hapo Hakuna anaewajua.

Dr slaa alikuwa anaalikwa na wazungu kwenda kuhudhuria mambo ya kitaifa ya Wazungu.

Ila hawa Wapinzani tulionao pamoja na kuwa wanawaabudu Wazungu ila ni kama wanapotezewa Hivi, wasipojiongeza kuomba kutembelea huko hakuna anaewajua.

Tena wakienda hawapewi hadhi ya kiongozi wa upinzani inakuwa ni kama mgeni wa kawaida tu.

Wapinzani wanakosea wapi? Mbona kila siku wanapeleka malalamiko kwa Wazungu ila Wazungu hawajali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Upigwe tu, namimi nasema watakupiga tu, maana hakuna namna nyingine!

ID ya ngapi hii wewe nguchiro? Unatujia na ID mpya kila ukitoka kula ugoro wako.

Tumekuchoka! Unatujazia servers za JF yetu.

Upigwe tu, au mnasemaje mods?
 
Back
Top Bottom