Kwanini Viongozi wa Upinzani hupenda kuandamania Mkoani Dar es Salaam badala ya kila mtu Mkoani kwake?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mbowe yupo Kilimanjaro! Lema yupo Arusha! Heche yupo Mara ! Msigwa yupo Iringa ! Lisu yupo Singida ! Wenje yupo Mwanza ! Sugu Mbeya ! Msigwa Iringa ! Benson Kigaiya Dodoma ! Salum Mwalimu Zanzibar ! Zitto Kabwe Kigoma ! Hashimu Rungwe Kigoma ! Sumaye Manyara na Lowasa huko Arusha (Kibori nangai!).

Kwann kila kiongozi asihamasishe maandamano Mkoani kwake ili waongeze idadi ya wafuasi wao badala ya kukusanyikia Mkoani Dar es Salaam?

Why Dsm?Why not Mkoani?
 
Mbowe yupo Kilimanjaro! Lema yupo Arusha! Heche yupo Mara ! Msigwa yupo Iringa ! Lisu yupo Singida ! Wenje yupo Mwanza ! Sugu Dar es Salaam ! Msigwa Iringa ! Benson Kigaiya Dodoma ! Salum Mwalimu Zanzibar ! Zitto Kabwe Kigoma ! Hashimu Rungwe Kigoma ! Sumaye Manyara na Lowasa huko Arusha (Kibori nangai!).

Kwann kila kiongozi asihamasishe maandamano Mkoani kwake ili waongeze idadi ya wafuasi wao badala ya kukusanyikia Mkoani Dar es Salaam?

Why Dsm?Why not Mkoani?
Sugu Dar!jimbo lipi?
 
Mikoani watu wako buzzy na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa.Hkn mwenye muda mchafu wa kuwafuata hawa wachumia tumbo.Kwa kifupi wanapuuzwa tu.Wana wanaowasikiliza huko dsm ndio sababu ya wao kuanzia huko kwa kila jambo.We trusted them bt they put us down.Wabunge wamekuwa busy kwenye masuala ya chama kuliko hata majimbo yao.Yangu macho!!!!!
 
Mbowe yupo Kilimanjaro! Lema yupo Arusha! Heche yupo Mara ! Msigwa yupo Iringa ! Lisu yupo Singida ! Wenje yupo Mwanza ! Sugu Mbeya ! Msigwa Iringa ! Benson Kigaiya Dodoma ! Salum Mwalimu Zanzibar ! Zitto Kabwe Kigoma ! Hashimu Rungwe Kigoma ! Sumaye Manyara na Lowasa huko Arusha (Kibori nangai!).

Kwann kila kiongozi asihamasishe maandamano Mkoani kwake ili waongeze idadi ya wafuasi wao badala ya kukusanyikia Mkoani Dar es Salaam?

Why Dsm?Why not Mkoani?
SOON ITAKUWA DODOMA MAKAO MAKUU YA NCHI NA DSM PIA.KAMA CAIRO NA ALEXANDRIA KWA WAMISRI..!!!!!!!
 
Mbowe yupo Kilimanjaro! Lema yupo Arusha! Heche yupo Mara ! Msigwa yupo Iringa ! Lisu yupo Singida ! Wenje yupo Mwanza ! Sugu Mbeya ! Msigwa Iringa ! Benson Kigaiya Dodoma ! Salum Mwalimu Zanzibar ! Zitto Kabwe Kigoma ! Hashimu Rungwe Kigoma ! Sumaye Manyara na Lowasa huko Arusha (Kibori nangai!).

Kwann kila kiongozi asihamasishe maandamano Mkoani kwake ili waongeze idadi ya wafuasi wao badala ya kukusanyikia Mkoani Dar es Salaam?

Why Dsm?Why not Mkoani?
Nakala ya hii mada imfikie mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mheshimiwa Paul Makonda
 
Wenje Mwanza ktk Jimbo gani? Maana Wenje alikuja Mwanza kusoma baada ya shule akalowea hatimaye akaupata Ubunge,baada ya kuwa Mbunge akaishia tena akahamia Dar,sasa Mwanza atakaa wapi?
 
Bashite akitoa matamko kolomije na pogba akitoa matamko chato ndiyo na sisi tutaiga
 
Mbowe yupo Kilimanjaro! Lema yupo Arusha! Heche yupo Mara ! Msigwa yupo Iringa ! Lisu yupo Singida ! Wenje yupo Mwanza ! Sugu Mbeya ! Msigwa Iringa ! Benson Kigaiya Dodoma ! Salum Mwalimu Zanzibar ! Zitto Kabwe Kigoma ! Hashimu Rungwe Kigoma ! Sumaye Manyara na Lowasa huko Arusha (Kibori nangai!).

Kwann kila kiongozi asihamasishe maandamano Mkoani kwake ili waongeze idadi ya wafuasi wao badala ya kukusanyikia Mkoani Dar es Salaam?

Why Dsm?Why not Mkoani?
Huko kwao watu wako busy na kazi zao bongo ndio wako wengi kijiweni....na press nyingi ziko hapo na hawawezi kupeleka vurugu kwao..hata paka hunyea kwa jirani kwake anapalinda...wabongo amkeni mkemee wanayo fanya wachache hao
 
Mikoani hakuna wapiga kura? Na wananchi wao wawe wanakusanyikia Dsm?
Kwani huwa wanaandamano ni kwa ajili ya wapiga kura? Kifupi Dar ni territory ya Upinzani kwa sasa, Na ndio kwenye population kubwa ya watu Tanzania, na Dar ndio kwenye Balozi zote za nchi za nje, na media zote kubwa zipo Dar, maana kuu ya maandamano sio kukusanyika tu na kutembea, bali ni kupaza sauti, ili kuweza kusikika uhitaji wanaeandamana.

Sasa basi kama upo Dar, na wewe ni mzalendo usie bagua kwa Itikadi za kisiasa wala kikanda, unakaribishwa 26 April, pale raundabout ya sanamu la Askari uje usherekee sikuku ya Muungano na utapata kuelewa zaidi.
 
Kwanini chama tawala kinafanyia mikutano dsm tena ikulu Kwanini kila mtu asikafanyie mkutano nyumbani kwake
 
Kwani huwa wanaandamano ni kwa ajili ya wapiga kura? Kifupi Dar ni territory ya Upinzani kwa sasa, Na ndio kwenye population kubwa ya watu Tanzania, na Dar ndio kwenye Balozi zote za nchi za nje, na media zote kubwa zipo Dar, maana kuu ya maandamano sio kukusanyika tu na kutembea, bali ni kupaza sauti, ili kuweza kusikika uhitaji wanaeandamana.

Sasa basi kama upo Dar, na wewe ni mzalendo usie bagua kwa Itikadi za kisiasa wala kikanda, unakaribishwa 26 April, pale raundabout ya sanamu la Askari uje usherekee sikuku ya Muungano na utapata kuelewa zaidi.
Na hizo kazi mtafanya lini za kulijenga hii nchi. Ukaanze kulipa bili ya hospital kabisa kabla ya hiyo aiku manake hakuna atakaye kusaidia kulipa
 
Back
Top Bottom