Kwanini Viongozi wa TZ wanapenda kulia kwenye umati wa Watu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Viongozi wa TZ wanapenda kulia kwenye umati wa Watu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo80, Feb 23, 2011.

 1. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hivi karibuni kumeibuka wimbi la viongozi wa serikalini kulia na kuonyesha machungu ya wananchi kana kwamba hawajui matatizo yetu, wanalia bila ya aibu au ninaweza kusema wanaigiza bila ya aibu na kuyashangaa maisha au matatizo yetu kuwa ni mageni kwao na kuwafanya waanze kulia mbele ya waandishi wa habari ili watokee kwenye ukurasa wa mbele kuwa alia na kuashangaa watanzania wamelala bila ya kunywa maji au umeme kutuonyesha kuwa wanatujali. Jana tulikuwa tunayaona maigizo ya yule Mama Jeuri wa Bunge Makimba wengine mnamwita Makinda kuwa aliona uchungu na kuanza kulia wakati Bungeni alikataa suala hilo lisungumziwe Bungeni sio la dharura. Sasa hawa viongozi wana uchungu na sisi au wanafanya maigizo ya kwenye Maisha yetu:mad: Naomba muongozo wa JF
   
 2. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,156
  Trophy Points: 280
  Viongozi wengi ni vilaza na wanaakili ya kufundishwa Masalakulangwa
   
 3. M

  Mutu JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yah maneno yako yamenigusa sana, hasa huu mfano wa huyu mama..kakataa isijadiliwe bungeni akiogopa mjadali unaweza ukawa si mzuri kwa viongozi serikalini bila kujali ungeweza kuwa mwema kwa wananchi, kanukuuati kifungu kama gadafi alivyofanya kwenye hotuba yake atiii si dharura ....watu 30 wamekufa na majeruhi kibao si dharula kweli mimi nahitajieleweshwa.
   
Loading...